Wakati anamsajiri Ighalo, kwa mkataba wa mwaka mmoja, on deadline day, Haaland ndio lilikuwa Chaguo lake la kwanza?
Wakati anamsajiri Cavan, kwa mkataba wa mwaka mmoja, on deadline day, Haaland ndio lilikuwa chaguo lake la kwanza?
Kamsajiri Lonardo, kwa mkataba wa miaka miwili, on deadline day, Bado Haaland ndio chaguo lake tu?
Yaani aliona bora amuuze Lukaku, amchukue ighalo wakati anamvutia speed Haaland?? kweli?
Angalia hiyo mechi marudio huoni nini kilitokea benchini tulipofungwa? labda kama hautaki kusoma body languages mkuu.