Hii nafasi ilikuwa mahsusi kwa ajili ya mtoto wa nyumbani.toto la kiengereza linaletwa tena
View attachment 1929876
uliona mbali sanaHii nafasi ilikuwa mahsusi kwa ajili ya mtoto wa nyumbani.
Super phil
FuentteSijafurahishwa na usajili wa Christiano Ronaldo.
Why?
Ronaldo ana miaka 36 as of today amepewa Contract mpaka 2023.
Kununuliwa kwa Ronaldo kutatuathiri hapa.
1. Hatutaweza tena kununua DM kwajili ya kuifanya timu yetu icheze kwa uhuru zaidi.
2. Usajili wa Ronaldo unaenda kupunguza gametime kwa Mason Greenwood, Rashford even Sancho kwa sababu either Ronaldo atatakiwa kucheza kama striker au Left wing.
3. Usajili wa Ronaldo unaenda kufifisha zaidi ndoto ya kumsajili Haalland au Striker mwingine yoyote katika kikosi chetu kilichopo kwenye rebuild.
4. Usajili wa Ronaldo unaenda kuongeza idadi ya wazee pale United kutoka watano mpaka kufikia 6. Mata, Matic, Heaton, Grant, Cavani, na Ronaldo.
5. Uwepo wa Ronaldo mwenye miaka 36 uwanjani unaenda kutufanya tucheze na mchezaji mmoja pungufu kwa sababu Ronaldo wa sasa hakabi, anakabika kirahisi sana na tukumbuke timu yetu inacheza kwa tabu sana kwenye final third.
6. Tunalazimika kutafuta mfumo mpya wa uchezaji kuaccomodate CR7 katka kikosi chetu.hii itahitaji muda pia.
Swali la kizushi je tumemsajili CR7 kwa sababu tunamhitaji au tumemsajili ili asiende Man City???
Welcome the GOAT.
Hahahah! Kama vile umepitia kikosi changu. Gray ana-balance mahesabu, pia form yake inaridhisha. Ila nshaanza kuona dalili za kuumia maana RONALDO kama vile hataanza halafu nimetumia Wildcard na kutoa watu kadhaa kama SON, INGS na TONEY ilimradi CR7 akae kwenye kikosi.Lol! Antonio asilimia 50! Nina wasiwasi kama CR7 atacheza, na vile raia wamemnunua kwa fujo watalia na kusaga meno. Huyo Gray watu wanamnunua ili ku balance mahesabu.
Hahahah! Kama vile umepitia kikosi changu. Gray ana-balance mahesabu, pia form yake inaridhisha. Ila nshaanza kuona dalili za kuumia maana RONALDO kama vile hataanza halafu nimetumia Wildcard na kutoa watu kadhaa kama SON, INGS na TONEY ilimradi CR7 akae kwenye kikosi.View attachment 1930586
The middle guy
nipe group nije niwakimbize buku 10 sio shidaKuna ligi ya hela kila wiki mchango 10k
ushauri wangu mtoe ronaldo ucaptain maana ni mawili ulie sana asipoanza au ufurahi sana akianzaHahahah! Kama vile umepitia kikosi changu. Gray ana-balance mahesabu, pia form yake inaridhisha. Ila nshaanza kuona dalili za kuumia maana RONALDO kama vile hataanza halafu nimetumia Wildcard na kutoa watu kadhaa kama SON, INGS na TONEY ilimradi CR7 akae kwenye kikosi.View attachment 1930586
Na mm nimeanza kujaribu, japo cjaelewa vzr lkn naimani mbele huko nitaelewa tuushauri wangu mtoe ronaldo ucaptain maana ni mawili ulie sana asipoanza au ufurahi sana akianza


Ila mm natumia FFM app vp nayo inakubalika kisheria?Mkuu acha woga mi nimempa na u captain kabisa liwalo na liwe sema shida kwa saka/pukki hapoo moto ninao View attachment 1930895