Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

unaambiwa bruno fernandez na phil jones walikuwa hawajawahi kuonana hata kwenye kiwanja cha mazoezi, jones anarudi kitandani huku upande wa pili ndio klabu inafanya mchakato wa kumsajili bruno, hiyo ilikuwa ni January 2020.

heshima kwake legendary phil jones a.k.a franco baresi wa England.
 
Nyie NYUMBU aka PUNDA Kama PUNDA nipeni uhakika kama mnyama CR7 atacheza mechi ijayo. Nataka nimnunue kwenye kikosi changu cha fantasy
 
Back
Top Bottom