Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wadau naanza kupata wasiwasi kwa wingi wa matumaini tuliyojipa juu ya CR7 ndani ya united.
Habari kuu kuhusu manchester united sasa hivi kwa 90% zinamhusu yeye.

Binafsi napenda awe chachu ya united kushinda mechi na mwishowe kutwaa makombe. Lakini hii hainitii upofu wa kuona kuwa cr7 wa sasa ana miaka zaidi ya 36. Mbali na hilo soka ni mchezo wa watu 11 uwanjani,hatujamaliza tatizo letu la msimu jana na uliopo kwenye nafasi ya kiungo cha chini,je hiyo mipira inaweza kumfikia kirahisi cr7 wakati hatuna muunganiko mzuri katikati ya uwanja?
Na kuongezea hapo,hii ni Premier League ambapo matumizi ya kasi na nguvu ni vitu visivyokwepeka kwa umri wake inaweza isimpe ubora tulioutarajia.
 
Habari zote kumzungumzia yeye nadhani ni faida kwetu.
Itawaondolea presha wachezaji wengine, mfano Hakuna mtu anamzungumza sancho saiv.
 
Hii timu naitabiria mabaya msimu huu ..na Mara nyingi utabiri wangu hutimia.
Utabiri wa kwanza: Ronaldo mzee wa kujipodoa hatofikisha goal 15 msimu huu.

Utabiri wa pili: kipaji cha sachonka na rashid makame ndio vinaenda kupoteza hivyo.

Utabiri wa tatu: manure itashika kati ya nafasi ya tatu au nne kwenye ligi.

Utabiri wa nne: huu utabiri unaweza pia kuwa wa kwanza, olesendeka atafukuzwa kibarua mapema sana kabla ya Desemba.

Mimi huwa sikosei huwa nakuwa nineshakamilisha utafiti wangu hivyo nina uhakika wa 97% kutokea kwa yote niliyotabiri kuhusu hii club takataka.
CFC
 
Hii sio kitu kibaya ila kwa upande mwingine ni kama vile mashabiki tumeweka matumaini yetu yote kwa ronaldo tusijue kuwa huyu anaelekea mwisho wa ubora wake.
EPL ya sasa kwa ronaldo ni sawa na changamoto mpya kama ilivyo kwa sancho na varane. Hivyo mashabiki tusiwe na matumaini makubwa kupita kiasi.
Nadhani kwa asilimia kubwa kaletwa kibiashara zaidi kuliko mafanikio ya uwanjani.
Huu ni mtizamo wangu tu
 
Kama kuna shabiki anatarajia maajabu, basi ana matatizo.
Kiukweli sitarajii maajabu, akiperform sawa asipoperform sawa.
 
Huyu jamaa sionangi anachofanya hapo kwenu citizen
Umeangalia game na norwich hivi ?? Zile cross zote alikuwa anapiga jesus,mpaka sasa pep kashamwamin kabisa ...

Vip game na arsenal??? Hpa alizid kufanya maajabu ....

Labda kama mpira hukuangalia
 
NYUMBU wenzako watakupinga ila ukweli umeongea pointi
Wadau naanza kupata wasiwasi kwa wingi wa matumaini tuliyojipa juu ya CR7 ndani ya united.
Habari kuu kuhusu manchester united sasa hivi kwa 90% zinamhusu yeye.

Binafsi napenda awe chachu ya united kushinda mechi na mwishowe kutwaa makombe. Lakini hii hainitii upofu wa kuona kuwa cr7 wa sasa ana miaka zaidi ya 36. Mbali na hilo soka ni mchezo wa watu 11 uwanjani,hatujamaliza tatizo letu la msimu jana na uliopo kwenye nafasi ya kiungo cha chini,je hiyo mipira inaweza kumfikia kirahisi cr7 wakati hatuna muunganiko mzuri katikati ya uwanja?
Na kuongezea hapo,hii ni Premier League ambapo matumizi ya kasi na nguvu ni vitu visivyokwepeka kwa umri wake inaweza isimpe ubora tulioutarajia.
 
Hii timu naitabiria mabaya msimu huu ..na Mara nyingi utabiri wangu hutimia.
Utabiri wa kwanza: Ronaldo mzee wa kujipodoa hatofikisha goal 15 msimu huu.

Utabiri wa pili: kipaji cha sachonka na rashid makame ndio vinaenda kupoteza hivyo.

Utabiri wa tatu: manure itashika kati ya nafasi ya tatu au nne kwenye ligi.

Utabiri wa nne: huu utabiri unaweza pia kuwa wa kwanza, olesendeka atafukuzwa kibarua mapema sana kabla ya Desemba.

Mimi huwa sikosei huwa nakuwa nineshakamilisha utafiti wangu hivyo nina uhakika wa 97% kutokea kwa yote niliyotabiri kuhusu hii club takataka.
CFC
Hater
 
Kafie mbali
 
Hivi we mdada kutwa kushinda kwenye jukwaa la wanaume unawashwa?
 
atacheza kipindi cha pili
Ronaldo ataanza kikosi cha kwanza, hakuna sababu ya Ole kumuacha bench na kuja kumtumia kipindi cha pili kwasababu ana game time ya kutosha. Kacheza baadhi ya mechi na Juve, lately kafanya mazoezi na Portugal na kucheza mechi dk 90. Sasa hivi anaenda mazoezini na timu, hizo ni sababu tosha za yeye kuingia moja kwa moja kikosi cha kwanza.

Ni kama Maguire alivyokuja alianza kikosi cha kwanza dhidi ya Chelsea kwasababu alikuwa akifanya mazoezi na Leicester, tofauti na Sancho ambaye alitokea likizo baada ya michuano ya Euro.
 
Back
Top Bottom