Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kai Harvetz hadn't won a trophy in his footballing career....

Immediately he joined Chelsea booooooom...

He Won two trophies.....

Jorginho hadn't won a trophy in his career.....

Immediately he joined Chelsea......

He has won 3 European trophies....
And he's the current Uefa Men's player of the year.....

Eduardo Mendy was trophyless in his career.....

Immediately he joined Chelsea......

Uefa and Super Cup Winner.

Uefa Golden Glove....

Alright now let go to the Camp of Mighty GGMU.

Nemanja Matic has been winning Trophies until he joined Man U.....

Ladies and Gentlemen, he hasn't won a trophy a since then 😭

Edison Cavani had been winning Trophies every season with PSG until he joined Man Utd....

He has been trophyless since then😭

Fred had been winning Trophies until he joined Manchester united.

He stopped winning Trophies 😭😭😭😭😭😭😭😭

Van De beek was flourishing in Ajax, unlike his brother ziyech, he decided to join Man Utd.....

Now he's a team viewer and has been trophyless since then 😭😭😭😭😭

Now Let look at Baba J Fernandes, he was winning Trophies with Sporting Always.....

Since he joined Man Utd, he's been scoring 100 goals per season, but stillllllllll he has been trophyless since he joined the club 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Ladies and Gentlemen, can we now say the opposite of Manchester united is TROPHIES?😭
 
1631136979231.png
 
Kai Harvetz hadn't won a trophy in his footballing career....

Immediately he joined Chelsea booooooom...

He Won two trophies.....

Jorginho hadn't won a trophy in his career.....

Immediately he joined Chelsea......

He has won 3 European trophies....
And he's the current Uefa Men's player of the year.....

Eduardo Mendy was trophyless in his career.....

Immediately he joined Chelsea......

Uefa and Super Cup Winner.

Uefa Golden Glove....

Alright now let go to the Camp of Mighty GGMU.

Nemanja Matic has been winning Trophies until he joined Man U.....

Ladies and Gentlemen, he hasn't won a trophy a since then

Edison Cavani had been winning Trophies every season with PSG until he joined Man Utd....

He has been trophyless since then

Fred had been winning Trophies until he joined Manchester united.

He stopped winning Trophies

Van De beek was flourishing in Ajax, unlike his brother ziyech, he decided to join Man Utd.....

Now he's a team viewer and has been trophyless since then

Now Let look at Baba J Fernandes, he was winning Trophies with Sporting Always.....

Since he joined Man Utd, he's been scoring 100 goals per season, but stillllllllll he has been trophyless since he joined the club

Ladies and Gentlemen, can we now say the opposite of Manchester united is TROPHIES?
 
Ronaldo ataanza kikosi cha kwanza, hakuna sababu ya Ole kumuacha bench na kuja kumtumia kipindi cha pili kwasababu ana game time ya kutosha. Kacheza baadhi ya mechi na Juve, lately kafanya mazoezi na Portugal na kucheza mechi dk 90. Sasa hivi anaenda mazoezini na timu, hizo ni sababu tosha za yeye kuingia moja kwa moja kikosi cha kwanza.

Ni kama Maguire alivyokuja alianza kikosi cha kwanza dhidi ya Chelsea kwasababu alikuwa akifanya mazoezi na Leicester, tofauti na Sancho ambaye alitokea likizo baada ya michuano ya Euro.
Watataka kutafuta attention, watamuingiza kipindi cha pili, c unajua tena mambo ya business.
 
Unaweza kunielewesha kuhusu hii kitu?
Kwa lugha nyepesi:

Fantasy Premier League (FPL) ni mchezo rasmi unaokuwepo kila msimu ukiandaliwa na Premier League. Fantasy inakuwa ni kama virtual league ambayo mashabiki au hata wachezaji na makocha wanaweza kucheza.

Ipo hivi, FPL inakupa £100m unazotakiwa kuzitumia kutengeneza kikosi utakachokitumia katika msimu mzima wa PL.
Utanunua wachezaji kwa kuzingatia budget uliyonayo na thamani za wachezaji mbalimbali, mfano: thamani ya Ronaldo kwenye FPL ni £12.5m. Ukishatengeneza kikosi chako cha wachezaji 15 utakisajili kwa jina upendalo.

Sasa FPL huwa inatumia real time events kugawa points, kwa makipa hupata points kutokana na clean sheets wanazopata hivyo ukichagua kipa ni lazima awe na rekodi nzuri kiudakaji pia awe na defense nzuri na mpinzani anayekutana naye awe dhaifu katika eneo la ushambuliaji, vivyo hivyo kwa beki ila beki au kipa wakitoa assist au kufunga goli points zao ni nyingi kushinda kiungo au mshambuliaji.

Sheria zipo hivi, kila wiki ya mchezo (GW) utapewa free transfer 1 ya kuweza kuuza mchezaji uliyenaye na kununua mpya ila pia zipo chip kama Free hit na Wildcard zinazokuwezesha kufanya unlimited transfer ya kikosi chako ila tu Freehit hubadili kikosi kwa GW moja tu na kitarudi kile cha mwanzo.

Captain wako wa timu points zake zitazidishwa mara mbili ila pia kuna chip ya Triple Captain ukiitumia points zitazidishwa mara 3.

Wachezaji walioko bench points zao hazihesabiwi ila kuna chip ya Bench Boost ambayo ukiitumia points za bench zitahesabiwa.

Chip hutumika mara moja tu katika msimu isipokuwa Wildcard huwa mbili moja huanza kutumika GW2 baada ya msimu kuanza na nyingine hutolewa December katika mzunguko wa pili.

Mchezaji akikosa penati au akipata kadi ya njano/nyekundu katika mechi anakatwa points.

Kufanya mabadiliko ya wachezaji (sub) hufanyika kabla ya deadline katika GW, hivyo inapaswa kuzingatia deadline.

Huwezi kufanya sub baada ya deadline, kama mchezaji kwenye kikosi cha kwanza hatacheza hata dk 1 mwisho wa GW chaguo la kwanza sub litaingizwa automatic kuchukua nafasi ya ambaye hakucheza.

Zawadi kwa washindi zipo hivi:

Meneja wa mwezi
Mshindi wa kikombe cha ligi
Mshindi wa FPL

Mshindi wa FPL
Ni yule atakayejikusanyia points nyingi msimu mzima. Huwa anapewa siku 7 za kutembelea England na kukaa katika hotel ya nyota 5 huku akionyeshwa maeneo mbalimbali ya kitalii. Pamoja na zawadi kutoka kwa wadhamini wa ligi TAG ambao hutoa saa ya thamani.

Bila kusahau mshindi hupewa nafasi ya kutazama mechi mbili azitakazo katika msimu unaofuata akipewa VIP hospitality.

Mshindi wa mwezi
Ni yule anayeongoza kwa points katika mwezi husika, ana zawadi pia.

Mshindi wa ligi
Hii ni kama kombe la Carabao au FA zinachukuliwa timu zilizo nafasi za 4m+ kupanda juu na zinakuwa zinakutana H2H mpaka zitakazobaki mbili kucheza fainali huwa inaanza GW14 au GW18 kama sikosei.

Zipo Fantasy Football nyingi mfano ya UEFA Champions League ambayo bado haijaanza mpaka Jumanne wiki ijayo, zilizopita ni kama EURO2020, FIFA WC2018. Zipo pia za ligi kama Bundesliga na nyingine nyingi.

Pia zipo ligi ndani ya FPL ambazo huwa zina zawadi, mfano ligi ya Betway Tanzania, Shabiki OS kipindi kutoka EATV na nyingine nyingi.

Mimi huu ni msimu wa 3 nacheza, FPL ni nzuri sana kwa sisi mashabiki inakufanya ujue ligi nzima maana kuna muda inabidi ufatilie kujua wachezaji gani wakali uwanunue.

Ila tu huwa inakufanya uwaombee wachezaji pinzani ilimradi tu upate points, si unamuona Papaa Gx anavyotusema ila hapo alipo ana michezaji ya United aiombea kila wiki ifunge, sasa hivi anamtaka Ronaldo.

Mwaka 2018 mtanzania Yusuf Sheikh alileta ubingwa nyumbani baada ya Mo Salah kumpa nafasi ya kwanza kidunia pale alipom-triple captain.

Ni hayo tu zaidi pitia website ya Premier League > Fantasy utajua kila kitu kufusu FPL.
 
Amna zawadi ya hela/pesa/ngawira/ mkuu?
 
Unaweza kunielewesha kuhusu hii kitu?
Kwa wiki hii hawa ndiyo wachezaji wanaoongoza kununuliwa.
Bila kusahau mchezaji hupanda au kushuka thamani kulingana na anavyonunuliwa sana au kuuzwa sana.

Mfano: sasa hivi thamani ya Ronaldo ni £12.5m ila baada ya GW4 anaweza kupanda hadi £12.6m kwasababu ananunuliwa na watu wengi.
Screenshot_20210909-092207.jpg
 
MY STARTING XI vs NEWCASTLE

=========

De Gea

AWB Varane Maguire Shaw

Fernandes Fred Pogba

Greenwood Ronaldo Sancho

==========
Fred plus Pogba ilikuwa combo moja yakiutopolo kwenye ile game ya Wolves,but hey,we don't have options aisee..inabidi Fred aimarikie na Pogba awe more disciplined.

GGMU.
 
Fernandes mcsauce Pogba

Greenwood cavani Sancho

Fred ana hatari ya kutokucheza kulingana na ban inayomnyemelea, cr7 atatambuliswa few minutes before the game, hivyo ataingia kama sub (its official) waliobaki nawaacha hivyo, thats my lineup
 
Lol! Antonio asilimia 50! Nina wasiwasi kama CR7 atacheza, na vile raia wamemnunua kwa fujo watalia na kusaga meno. Huyo Gray watu wanamnunua ili ku balance mahesabu.
Kwa wiki hii hawa ndiyo wachezaji wanaoongoza kununuliwa.
Bila kusahau mchezaji hupanda au kushuka thamani kulingana na anavyonunuliwa sana au kuuzwa sana.

Mfano: sasa hivi thamani ya Ronaldo ni £12.5m ila baada ya GW4 anaweza kupanda hadi £12.6m kwasababu ananunuliwa na watu wengi.View attachment 1930148
 
De Gea

AWB Varane Maguire Shaw

Fernandes mcsauce Pogba

Greenwood cavani Sancho

Fred ana hatari ya kutokucheza kulingana na ban inayomnyemelea, cr7 atatambuliswa few minutes before the game, hivyo ataingia kama sub (its official) waliobaki nawaacha hivyo, thats my lineup
Ronaldo atambulishwe mara ngapi?..ashatambulishwa na namba ya jezi anayo..Varane alitambulishwa vile coz alikuwa hajasajiliwa rasmi..
Kutambulishwa kwa Ronaldo ni yeye kuanza kikosini.

McTominay amefanya groin surgery wiki hizi mbili tu..sidhani kama yupo fit.

Fa ya Brazil na Authorities zao wahuni tu hao..Kina Fred watacheza fresh tu naamini hivyo..
 
Back
Top Bottom