Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,536
- 18,739
Ulivyo fala triple Captain unaweza mpa Magwaya [emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba unijuze kuhusu habari za chip and unlimited Chip, pia kum triple mchezaji u captain inakuwaje, ukipata muda naomba unitupie PM darasa la hii kitu mkuu mana hapa co mahala pake [emoji120]