Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii timu dhaifu kama hawatatufunga hadi half tutashinda
PSX_20210829_184104.jpg
 
On target sifuri yani mpaka saa hizi hatujalala ni bahati tu aloo tuko hovyoo mtu labda tubadilike asee.
 
Yaani kipindi cha kwanza usipowafunga ujue kipindi cha pili wanakufunga


Hawa wolves kipindi cha pili watalizwa


Ila ubingwa Manutd wasahau hadi pale kipindi cha kwanza wataanza kucheza vizuri kiushindi
 
Kuna Makocha alafu kuna OLE....Mshikaji ni average. Hiki kikosi na ongezeko la Cristiano kinauwezo wa kubeba kombe la ligi kuu ila kwa uwezo wa kocha wetu na mpira naouona hapa, hata tukishinda, top 3 ni Mlima Everest...Tumaini pekee nililo nalo ni kwamba Ronaldo ndo atakuwa sababu ya Ole kufukuzwa asipobadilika. GGMU
 
Wolves wanacheza jinsi tulivyopaswa kucheza sisi. Wolves hawakabi kwa macho, kitu wanakosa ni umakini kule mbele tu. Pia sisi defensively leo tumeonyesha kiwango kizuri. Varane mzee wa kazi ndiyo kitu tulihitaji.

Fred hakuna kitu anafanya, hafanyi kazi yake ipasavyo dimba la kati.

James ni yuleyule, atapata chance nzuri mara ghafla anakuwa kama hana macho.

Kwa ukosefu wa Scott ni heri Ole angeanza na VDB badala ya Pogba, Sancho kulia na Martial kushoto.

Kwasasa Cavani aingie, James atoke.
 
Mkuu we kweli deluded fan Kwa hyo performance 1st half utegemee ubingwa WA EPL

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Tatizo lako ni upeo kwa hiyo huwezi kudadavua.

Tatizo la Manutd ni kocha hajui kupanga timu au kununua wachezaji.

Badala ya kumchezesha Sancho hiyo nafasi angemchezesha Pogba na nafasi ya Pogba angelimchezesha Matic.

Badala ya kumnunua Sancho angelimnunua Lewandowski ambaye anatafuta new challenge
 
Back
Top Bottom