Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,262
- 44,377
Hapana sisi tunalipa mishahara midogo sana, even Hao kina Rashford na Martial watu wanaolalamika wanapata 200k hizo ni inclusive na Image rights. Mtu anapata hela Kubwa sasa hivi ni DE Gea Peke yake.Mishahara mikubwa kwa wasiostahili.