Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sijafurahishwa na usajili wa Christiano Ronaldo.
Why?

Ronaldo ana miaka 36 as of today amepewa Contract mpaka 2023.

Kununuliwa kwa Ronaldo kutatuathiri hapa.
1. Hatutaweza tena kununua DM kwajili ya kuifanya timu yetu icheze kwa uhuru zaidi.

2. Usajili wa Ronaldo unaenda kupunguza gametime kwa Mason Greenwood, Rashford even Sancho kwa sababu either Ronaldo atatakiwa kucheza kama striker au Left wing.

3. Usajili wa Ronaldo unaenda kufifisha zaidi ndoto ya kumsajili Haalland au Striker mwingine yoyote katika kikosi chetu kilichopo kwenye rebuild.

4. Usajili wa Ronaldo unaenda kuongeza idadi ya wazee pale United kutoka watano mpaka kufikia 6. Mata, Matic, Heaton, Grant, Cavani, na Ronaldo.

5. Uwepo wa Ronaldo mwenye miaka 36 uwanjani unaenda kutufanya tucheze na mchezaji mmoja pungufu kwa sababu Ronaldo wa sasa hakabi, anakabika kirahisi sana na tukumbuke timu yetu inacheza kwa tabu sana kwenye final third.

6. Tunalazimika kutafuta mfumo mpya wa uchezaji kuaccomodate CR7 katka kikosi chetu.hii itahitaji muda pia.

Swali la kizushi je tumemsajili CR7 kwa sababu tunamhitaji au tumemsajili ili asiende Man City???

Welcome the GOAT.
Ni wivu tu ,...

Na hamtafika popote na wivu wenu kuingilia madili ya watu kudadekii...
 
Mkuu tuwe tunasoma alama za nyakati, pale Utd hata angekuja nani bado tungesema kuna eneo linapwaya, co kwamba hatuna wachezaji bali tumepoteza ari na bahati, acha aje CR7 arudishe kujituma kwenye timu cz wachezaji wazembe na wavivu wataanza kujituma hata mazoezini mana hawatojisikia vzr mzee kuwazidi ktk kufanya mazoezi.
 
Hatuhitaji bahati tunahitaji matokeo yaliyopikwa kwa juhudi na maarifa.

Je kuja kwa Ronaldo kutapunguza au kuongeza Laissez faire attitude ya Ole na benchi lake ?
 
Sijafurahishwa na usajili wa Christiano Ronaldo.
Why?

Ronaldo ana miaka 36 as of today amepewa Contract mpaka 2023.

Kununuliwa kwa Ronaldo kutatuathiri hapa.
1. Hatutaweza tena kununua DM kwajili ya kuifanya timu yetu icheze kwa uhuru zaidi.

2. Usajili wa Ronaldo unaenda kupunguza gametime kwa Mason Greenwood, Rashford even Sancho kwa sababu either Ronaldo atatakiwa kucheza kama striker au Left wing.

3. Usajili wa Ronaldo unaenda kufifisha zaidi ndoto ya kumsajili Haalland au Striker mwingine yoyote katika kikosi chetu kilichopo kwenye rebuild.

4. Usajili wa Ronaldo unaenda kuongeza idadi ya wazee pale United kutoka watano mpaka kufikia 6. Mata, Matic, Heaton, Grant, Cavani, na Ronaldo.

5. Uwepo wa Ronaldo mwenye miaka 36 uwanjani unaenda kutufanya tucheze na mchezaji mmoja pungufu kwa sababu Ronaldo wa sasa hakabi, anakabika kirahisi sana na tukumbuke timu yetu inacheza kwa tabu sana kwenye final third.

6. Tunalazimika kutafuta mfumo mpya wa uchezaji kuaccomodate CR7 katka kikosi chetu.hii itahitaji muda pia.

Swali la kizushi je tumemsajili CR7 kwa sababu tunamhitaji au tumemsajili ili asiende Man City???

Welcome the GOAT.
inawezekana upo sahihi mkuu....ngoja tujipe muda tuone mipango ya timu juu yake.....

Pia tungoje tarehe 31 kujua hatma ya usajili wa DM
 
Ktk eneo hilo staki kuwa mnafiki hilo shida lipo toka 2013 scholes alipoondoka na sir alex hapajawahi kufanyiwa kazi huwa najiulizaga sana makocha wanaokuja wanawazaga nini bora hata van gaal alijaribu kumleta morgan shneiderlin
 
Ronaldo hajawahi kucheza Europa katika uchezaji wake wote ....

Soon anaenda kucheza kwa Mara ya kwanza akiwa united...

United kukimbilia Europa baada ya kipigo kutoka CL huko ni swala la kawaida....
 
Kwa taarifa yenu ili ronaldo avae jezi namba 7 ,lazima Cavan aondoke united ,vinginevyo mtakuwa mnavunja sheria EPL ...

Mimi naona ronaldo mmupe jezi namba 98 hukooo...hahaaaa
 
Atachukua jezi hii
IMG_20210827_195926.jpg
 
Hatuhitaji bahati tunahitaji matokeo yaliyopikwa kwa juhudi na maarifa.

Je kuja kwa Ronaldo kutapunguza au kuongeza Laissez faire attitude ya Ole na benchi lake ?
Hakuna kitu au jambo lolote lile chini ya dunia hii likakosa bahati, hata hao wazungu wenyewe wanajua hilo na wanaiita lucky, sisi tumekosa kujituma na bahati pia na ndiyo maana unakuta tunapigiana penalti 10 zote zinaingia ila yetu ya 11 tunakosa.
 
Back
Top Bottom