BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,348
- 1,466
Mishahara mikubwa kwa wasiostahili.Hela ipo, man u tunalipa mshahara mdogo sana compare na pato letu.
kuwa na huruma dhidi ya guardiola, angelimsifiaje ronaldo haliyakuwa maisha yake yote amemsifia messiHii timu siipendi tu ,..
Hakuna namna ,Mimi na nyie ni maadui kudadekiiii
Yule mzee angetakiwa afie kwenye kiti.Ferguson naye angerudi at least kwa miaka 3
Ole anaweza kumfanya Ronaldo awe mzururaji kule mbeleUsajili wa Ronaldo na DM kipi muhimu wakuu
Nadhani tumebakisha usajili wa kocha ili tutwae ndoo msimu huu.Ferguson naye angerudi at least kwa miaka 3
Kwahiyo tunategemea thorough cleaning ya deadwoods wetu ndani ya siku 3 baada ya ujio wa ronaldo pale united kiongozi.
Aisee mkuu, umetutenga sana kwenye hili jukwaaHela ipo, man u tunalipa mshahara mdogo sana compare na pato letu.
Mkuu umezungumza point sanaaFerguson naye angerudi at least kwa miaka 3