Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Duh! Wapi nimesema Ole atolewe?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Daaah nmecheka sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwahy jamaa anakusingizia 😁😁
Ole mjinga sana,namuunga mkono Nzi jamaa aondolewe tu.
Wakati mwingine tunamlaumu Pogba na Lindelof ila Ole anaweza kuwa ndiye tatizo namba moja la timu kutofanya vizuri.
 
Average player, hamna kitu ni mchezaji wa timu ndogo, lkn bora huyu kuliko vikina Martial, Trashford, Lingard, James, hivi ndiyo vitatuharibia msimu mana vinapata nafasi ya kucheza hivi vitaka taka.
Ukiondoa hivyo vichezaji vya hovyo ulivyovitaja hapo juu ila kusema ukweli sioni tukibeba kombe lolote lile chini ya Ole hata kama timu itaanza kucheza vizuri baadae.

Bado naona tuna tatizo lile lile kwa Ole - poor game management haikuwa mechi ya kutoa sare hii. Huwezi kushinda mataji na kocha asiye na mbinu mbadala uwanjani.
 
Tunaendelea kucheza simple football tukitegemea kila timu itajiachia tu kama Leeds..hovyo kabisa..more 1-1 and 0-0 to come.

Tukikutana na low block shughuli imeisha...Tukipressiwa na timu pinzani na penyewe shughuli imeisha.

Nimewacheki wale Chelsea..ebhana quality inaonekana.

 
Kwa jinsi tulivyoanza msimu kwa style,ningependa tuendeleze moto ule ule dhidi ya timu yoyote itakayokuja dhidi yetu.
Lakini hofu yangu ni namna Ole atakavyozubaishwa na McFred yake asahau kuhusu usajili wa DM mwingine kitu kitakachotukosesha plan B kwenye baadhi ya game.
Nilipenda Ole alione hili tatizo kabla mechi zijazo hazijamuonesha pindi tunapostahili kutokuwa na McFred dimbani.
Nilishasema mfumo wa mactomy na Fred ndy utatukosesha ubingwa msimu huu..

Anapaswa bora ampange Mac tommy tumtumie kama DM ,bila Fred.

Tucheze 433.
 
Ukiondoa hivyo vichezaji vya hovyo ulivyovitaja hapo juu ila kusema ukweli sioni tukibeba kombe lolote lile chini ya Ole hata kama timu itaanza kucheza vizuri baadae.

Bado naona tuna tatizo lile lile kwa Ole - poor game management haikuwa mechi ya kutoa sare hii. Huwezi kushinda mataji na kocha asiye na mbinu mbadala uwanjani.
Tatizo la ole hana first 11 ambao ndy chaguo namba moja.

Hata timu ishinde goal 100 ,,next game atabadilisha kikosi.

Timu inashinda inategemea Bruno ameamkaje.
Ole asipotumia mfumo wa DM mmoja. Tusahau hata kikombe cha kahawa
 
Last season tulisema tukimsajili Sancho matatizo yameisha ,leo tunasema tunahitaji DM,next season tatizo litakuwa GK

OGS alifanya kosa kubwa sana kumuuza Lukaku ili kumu-acommodate Martial,msimu huu sitegemei jipya
Tunahitaji DM ili kucheza na medifilder 1 chini,
Badala ya Fred na mac tommy.
Tunapaswa tucheze 433..

Badala ya 4231..
Ambayo haina maajabu yeyote kwa sasa man u.
 
Fred & Matic kati? Serious? Na Martial mbele? Aisee ... Muda mwingine mnakuwa na muwasho na kupigwa.
Nisikudanganye ndugu yangu
Sina uwezo wakati huu ila nngekuwepo huko ulaya ningechoropoka na barua ndefu sana ya ole kutoka kwenye jukwaa ningemtwanga kofi zito afu ningempa hio barua ya povu langu

Kajamaa sijui kana mapepo?

Yani watu wanasajili ili wazibe mapengo yeye anasajili ili wakae benchi sasa vdb angeingia badala ya matic kingeharibika nini?

Martial wa nini ?

Sancho anakaa benchi kwa nini?
 
Ole anamentality moja mbovu sana

Chelsea nnachowapendea hawana nonsense kwenye football
Ukicheza poa unabaki ukizingua unaenda, heck hata ukiwa mzuri lakini huelewekieleweki unaenda mf tammy abraham na kwenye takwimu ndo timu yenye makombe mengi kwanzia 2005 kuja mpaka sasa hii ni kutokana na hio slogan yao

Sasa man u sijui kocha ana matatizo gani. kwa ninavyoona chelsea mpaka sasa watu kama mata,matic,martial,philjones, perreira,fred. wasingekuepo chelsea mpaka sasa.

Ila sisi man u angekuepo tammy kwetu nahisi asingeondoka kabisa maana ole anakumbatia watu wasio na umuhimu afu wenye umuhimu anawaacha benchi like wtf is wrong with him
I just wanna hit him so baaaad labda kaubongo katikisike kidogo akae vizuri maana sasa tunashindwa kumuelewa kwa kwel

ila pale man u there's lotta deadwood just imagine matic na martial wako first 11 ya Epl na watu kama southampton hivi kweli? Matic is past his prime already leave the man alone
Huyo martial ffs kwanza sio namba 9 ..put greenwood namba 9 hapo. Martial ashaonyesha hana muda na mpira tena sasa sijui ole anataka nn kumueka mbele afu alivo muoga he is always seeking to put two dm's in midfield

Sancho anamuanzisha benchi varane naye hayupo huko ulaya watu wanasajili na mchezaji anaemda straight kikosi cha kwanza unajiuliza huyu fala anawaza nini? Ni miaka mitano hatuna kombe na nahisi lishasahau lilikosa europa juzi tu hapa analeta upuuzi kwenye campaign ya ligi kuu huu upuuzi wa kuanzisha watu hawaeleweki unafanywa kwenye makombe madogo huko yeye analeta epl matches

Man.u kushinda kombe na huyu chizi sijui lini kwa kweli hapa tokea jana nina hasira mno kisa mtu alieko ulaya. Wale ambao wanapigaga makocha wale nilikua nawaonaga hamnazo ila kama naaanza kuwaelewa hivi

#oleout ffs pleaaaaaseee the man is a coward
 
sosha akijiaminisha na ule usajili wake tukaingia kuliwasha mbungi tutaishia kupigania top 4 bila kiungo cha maana kazi bure yule fred na scott sioni kama ni watu sahihi pale kwenye mech ngumu za timu ngumu
Kuna watu walibisha hii jana mmepata majibu
 
Back
Top Bottom