Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa jinsi tulivyoanza msimu kwa style,ningependa tuendeleze moto ule ule dhidi ya timu yoyote itakayokuja dhidi yetu.
Lakini hofu yangu ni namna Ole atakavyozubaishwa na McFred yake asahau kuhusu usajili wa DM mwingine kitu kitakachotukosesha plan B kwenye baadhi ya game.
Nilipenda Ole alione hili tatizo kabla mechi zijazo hazijamuonesha pindi tunapostahili kutokuwa na McFred dimbani.
 
Huwa simpendi huyu jamaa kwa mbwembwe zisizo na maana uwanjani ila huwa napenda mentality yake anapokuwa na jersey za timu ya ufaransa na siku tuliyofanya come back dhidi ya city msimu wa 2018/2019 mzunguko wa pili.

Akubali kuwa muda unamtupa mkono atue moyo wake united kwa ajili ya kucheza mpira na si kama sehemu ya kufanyia show offs zake,anaweza kuwa balon d'or contender ikizingatiwa ufalme wa messi na ronaldo umefikia ukingoni.
 
Kwa jinsi tulivyoanza msimu kwa style,ningependa tuendeleze moto ule ule dhidi ya timu yoyote itakayokuja dhidi yetu.
Lakini hofu yangu ni namna Ole atakavyozubaishwa na McFred yake asahau kuhusu usajili wa DM mwingine kitu kitakachotukosesha plan B kwenye baadhi ya game.
Nilipenda Ole alione hili tatizo kabla mechi zijazo hazijamuonesha pindi tunapostahili kutokuwa na McFred dimbani.
Usajili ndo tumeufunga hivyo..don't expect another big signing.
 
Back
Top Bottom