Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

MY EARLY STARTING XI VS WOLVES JUMAPILI

=======

De Gea

AWB Lindelof Maguire Shaw

Fernandes McTominay Pogba

Greenwood Cavani Sancho

======

Wachezaji hawajitumi Ole anakunja tu nne juu pale kwenye kiti..

Aggressiveness yetu ipo chini sana..na tukiendelea hivi hata baada ya miaka kumi tutazidi kusindikiza tu watu bila trophy.

What the fuc.k...yaani uongozi wa timu hii umeshindwa kuwaoffload kina;

✓Lingard

✓Phil Jones

✓Perreira

✓Brandon Williams

✓Daniel James

✓Matic

Tunaendelea kukaa na vijitu goigoi..
Ongezea na useless players wengine kama;

✓Donny Van De Beek

✓Martial

Hii timu haina watu walio serious kuanzia Uongozi hadi Benchi la ufundi.

And what the f.uck was that yesterday away kit?.
ila ile jezi wallahi nikabaki kusema bora pundamilia.
 
Ndo kwanza match ya pili watu mnamlaumu kocha bado games 36... tuwe na imani na ole... .. hata klop alipofika Liverpool ilimchukua muda ku win epl... so ole apewe muda.
Acha kumfananisha Olesendeka na Klopp. Klopp aliwakuta mabeki ni Sakho, Kolo Toure, Benteke, n alike. Na alisema kabisa itamchukua mpaka miaka minne kupata mataji.

Akiwa na magarasa akacheza europa league faina dhidi ya Sevila. Akapoteza. Baada ya kuijenga timu kilichofuata unakijua.
Ukweli ni kwamba Ole ni mdogo sana kwa club kubwa kama United.
 
Antony Martial completed four passes today. Two was because of the kickoffs in both halves
Huenda wale jamaa ijumaa na jumamosi walizitumia kufanya mapenzi siyo mazoezi kila mmoja alionekana kuchoka kuliko kawaida,

Body language ni kama walikuwa wanaomba dakika ziishe watoke uwanjani.
 
Katika mchezo wa mpira wa mguu ukimpata viongozi/kocha ambaye hayupo sirious basi hadi wachezani wanakosa umakini mchozoni kwasababu wanafuata na kuangalia anachofanya kosa au viongozi wao.

Unaona kinachowapa Arsenal sasa; mchezo unataka viongozi wa makini sana...ukizingua unakula kona.
Ole is a laissez faire manager na timu nzima iko hivyo hivyo.
 
ni wakati sasa wa antony martial kutolewa kwa mkopo
katika wachezaji wavivu wa man u ni yeye

note
ole anampenda kwasababu anauwezo wa kukaa na mpira muda mrefu
kuwezesha timu kujipanga
 
naona pia ni wakati wa kumweka matic bench na kumweka van berk
pia niwakati wa sancho pamoja na verane pia cavan kuanzi menchi
greenwood ni mzuri ila amwache cavan kwanza
 
OGS should have some guts and drop 1 defensive midfielder. We have to be creative and attacking. Play your best players

We have the best players but you keep delaying to the formation that doesn't work for you consistently.

This line up for next match please.
FB_IMG_1629795243961.jpg
 
OGS should have some guts and drop 1 defensive midfielder. We have to be creative and attacking. Play your best players

We have the best players but you keep delaying to the formation that doesn't work for you consistently.

This line up for next match please.View attachment 1906021
Is Cavani ready and fit?

Pogba should join the attack two defensive midfielders are enough
 
OGS should have some guts and drop 1 defensive midfielder. We have to be creative and attacking. Play your best players

We have the best players but you keep delaying to the formation that doesn't work for you consistently.

This line up for next match please.View attachment 1906021
Hivi Lindelof ana makosa gani kwenye timu yetu ?
 
Back
Top Bottom