King Mbappe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2018
- 1,195
- 2,057
aya bana ila msimu huu Man U ispochukua nidai kreti ya bia


Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
aya bana ila msimu huu Man U ispochukua nidai kreti ya bia


Bongo'aBaba yako ndio ataanza kuianamishwa.
mkuu mbona kama unamtabiria mwanafunzi kupata four wakati ndo kwanza yupo kidato cha kwanza.. tuspochukua kombe ndai hela
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Mmeng'ang'ania grealish mnataka acheze mnavyotaka kama kwenye PS ,tutaliona lilepipa la €115 million pale Chelsea
Pale mbele mna kiroba cha kilo 100 akitaka kufunga sharti aheme kwanza aweke mpira vzr ndo apige, hongereni wakuu![]()


Tatu kwa moja au siyo..Martial mzito sana, aingie Sancho tupate magoli 2 tumelize game 3 kwa 1
Tatizo la Ole ni lile lile misimu yote.Ole mjinga sana,namuunga mkono Nzi jamaa aondolewe tu.
Wakati mwingine tunamlaumu Pogba na Lindelof ila Ole anaweza kuwa ndiye tatizo namba moja la timu kutofanya vizuri.