Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hii timu isiposajili viungo wawili au mmoja tabu iko palepale
 
sosha akijiaminisha na ule usajili wake tukaingia kuliwasha mbungi tutaishia kupigania top 4 bila kiungo cha maana kazi bure yule fred na scott sioni kama ni watu sahihi pale kwenye mech ngumu za timu ngumu
 
Msimu huu hakuna cha double pivot
 
Duh! Kweli nyie watu hamuishiwi vimaneno.

QPR katupiga 4 mkasema timu mbovu.

Jack Mmepigwa mnakuja na statistics hazina kazi.

Ngoja aanze kukokota na UCHOYO ULIOPITILIZA ndio mtajua hamjua.

Afadhali Maguire atapumua kuhusu bei ya kununuliwa.
EPL ikianza mtamkataa Huyo magure
 
Mnaoangalia hii mechi,naomba kujuzwa performance ya Don kama anaendelea kuimarika ndani ya united.
 
Badala ya kusajili makinda Brazil tunabakia na wababaishaji wa UK tena kwa kuvunja benki
PSX_20210807_170537.jpg
 
sosha akijiaminisha na ule usajili wake tukaingia kuliwasha mbungi tutaishia kupigania top 4 bila kiungo cha maana kazi bure yule fred na scott sioni kama ni watu sahihi pale kwenye mech ngumu za timu ngumu
Unashangaza sana!!!

Misimu yote waliyocheza Scott na Fred against big games tulifanya vizuri kuliko wakiwa hawapo.

Unataka big games zipi ambazo hawaperform ?
 
Back
Top Bottom