radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Nilikwambia lakini mkuuUnashangaza sana!!!
Misimu yote waliyocheza Scott na Fred against big games tulifanya vizuri kuliko wakiwa hawapo.
Unataka big games zipi ambazo hawaperform ?
Nilikwambia lakini mkuuUnashangaza sana!!!
Misimu yote waliyocheza Scott na Fred against big games tulifanya vizuri kuliko wakiwa hawapo.
Unataka big games zipi ambazo hawaperform ?
Kwa hiyo fred ni bora mbele ya Ruben Neves?Huyo Ruben Neves hawezi kuwa sawa na Fred katika ukabaji
Just imagine mkuuJana nimeangalia mechi yenu kwa kweli nimeshindwa kumuelewa Martial ni mchezaji wa namna gani na lengo lake kuwa uwanjani ni nini?
Anacheza kama analazimishwa kucheza
Katika mchezo wa mpira wa mguu ukimpata viongozi/kocha ambaye hayupo sirious basi hadi wachezani wanakosa umakini mchozoni kwasababu wanafuata na kuangalia anachofanya kosa au viongozi wao.Just imagine mkuu
Haya angalia lingard anarudi man u na kocha anasema ana kazi naye...sasa kweli lingard man u wanini? Sell the huy huko westham. Get cash sell the players ambao hawachezi ingiza pesa tafuta wengine wenye uwezo waje kuliko old people who they are already past their time
Cha msingi ni kumuamini scott mctominay acheze dm kama pesa haiko man u watu mbna wanabadilika antonia wanasema alikua winga mpaka sahv ni straika mzuri tu wakina bale stori zao si zinajulikana. Cha msingi ni kocha aonyeshe anajaribu kuleta changes kwenye timu na sio kila siku kutegemea watu washambulie ndo tushinde mechi kwa fast counters kwa kweli if there was a time man u n
eeded a coach change it is now aisee
Hakika mkuu,,Mda mwingi umekuwa ukilisema hili na ndiyo ukweli wenyewe huo, kocha amekuwa muoga kupitiliza.
Wachezaji wapo vzr tatizo ni kocha..And then what? Don’t you see the progress that the team has made?
Hii formula ya double pivot ni the dead formula iliyofeli pale Utd.Wachezaji wapo vzr tatizo ni kocha..
Hadi Leo hana first 11?
Kweli?
Yaani timu iliyoshinda 5 ,,kesho anabadilisha ..
Mashabiki tumejaa unafikiGame la kwanza hamkusema kocha aondoke![]()
Hakika mkuu,,Hii formula ya double pivot ni the dead formula iliyofeli pale Utd.
Badae mkibakisha mechi tano mnakomaa na top halafu mnaanza kumsifia ole.Inasikitisha sana kutoka kuwafunga 9 mpaka droo. Okay watu wanasema ndo kwanza mechi ya pili ni sawa tukija kustuka tumepitwa point 10 tunarudi kukimbizana na top 4.
Ole ni maskini ambaye haamini katika utajiri yeye anaridhika na anachopata tu ..wapi Kitoabu au yuko shimoni? Isije ikawa amefukiwa na ngema..Hakika mkuu,,
Hivi timu Kama Southampton ni timu ya kuweka double DM?
Hivi tunajilinda nn kwanza!
Timu ilitakiwa tuweke mziki wa 433
Mactomy chini juu pogba na Bruno.
Pembeni greenwood na Sancho.
Anatuwekea akina James na matic na Fred...
Ole ndy tatizo kwa sasa man u.
He is not serious na makombe
Progress ipi mkuu?And then what? Don’t you see the progress that the team has made?
Fernandes na Pogba wote ni weupe linapokuja swala la kukeep serious possession na kukaba..hiyo 433 huyo dm inabidi sijui awaje..mfano jana Fernandes amecheza kilaini akanyanganywa mpira tukafungwa.Nilishasema mfumo wa mactomy na Fred ndy utatukosesha ubingwa msimu huu..
Anapaswa bora ampange Mac tommy tumtumie kama DM ,bila Fred.
Tucheze 433.
Kwani sare ndio tumeanza kutoa sisi?Ole ni maskini ambaye haamini katika utajiri yeye anaridhika na anachopata tu ..wapi Kitoabu au yuko shimoni? Isije ikawa amefukiwa na ngema..
Tunahitaji DM mfano wa Carrick.Fernandes na Pogba wote ni weupe linapokuja swala la kukeep serious possession na kukaba..hiyo 433 huyo dm inabidi sijui awaje..mfano jana Fernandes amecheza kilaini akanyanganywa mpira tukafungwa.
If tunaenda na 433..basi hata Bruno na Paul wanahitajika kubadilika.
Tuna Matic McTominay na Fred ambao wote hawatoshi..na Ole atatumia hiki kichaka kujificha.
Hii formula ya double pivot ni the dead formula iliyofeli pale Utd.