21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,299
- 2,843
TunasubiriUshindi 3-0 GGMU
TunasubiriUshindi 3-0 GGMU
Badili namba,tunakupa second chance.Ushindi 3-0 GGMU
Hiyu kocha huwa hajielewi kabisa, mara nyingi ni kama ana bahatisha tu.OGS ameanza na Matic na Fred.. then mbele Martial.. sijui leo kama tutatoboa.
Huu utabiri ushindweLeo nimeota man u tumefungwa 1 naombea hile ndo hiwe ni ya burudani tu kama zile za kupiga goal asubuhi
Mkuu tunarudi tulipoanzia,inconsistency game after gameLeo timu yetu inacheza vibaya
Fred & Matic kati? Serious? Na Martial mbele? Aisee ... Muda mwingine mnakuwa na muwasho na kupigwa.
Imani yako ni ndogo sana hadi mechi kama hii?
Nilisema hapo juu ikaonekana imani yangu ndogo sanaOGS ameanza na Matic na Fred.. then mbele Martial.. sijui leo kama tutatoboa.