passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,516
- 12,488
Watalitema Kwa ChelseaHawa City mbona wachovu hivyo? Hili kombe la EPL watalitema tu hakuna jinsi
Watalitema Kwa ChelseaHawa City mbona wachovu hivyo? Hili kombe la EPL watalitema tu hakuna jinsi


Wakuu tumuuze pogba tumchukue ata charlie adam. Katikati tunapwaya sana
Hakuna klabu inayofanya mambo aggresively kama Chelsea na inawalipa..Lukaku Deal Done HERE WE GO!! wataalamu mnazungumziaje huu usajili. €115M View attachment 1884281
Hahahaha, msimu uliopita tulipigwa kwa Werner, Harvetz tukabeba UCL.
Msimu huu tunapigwa kwa Lukaku na Kounde tutabeba EPL + UCL
Kiloba cha maharage hicho.KILO 100 kama KILO 100![]()
Mkuu Chelsea wanasajili kama Yanga tu.Hakuna klabu inayofanya mambo aggresively kama Chelsea na inawalipa..
Sisi kusajili tu wawili Sancho na Varane tunaona tumemalizaaaa,wakati ilibidi tushushe vifaa vingine viwili ili tuende head to head na hawa wengine when squad power is concerned.
Chelsea kasajili kikosi kizima lini tena mzee?Mkuu Chelsea wanasajili kama Yanga tu.
Utasajili vipi kikosi kizima kila msimu?
Me nadhani tuongeze mchezaji mmoja tu (DM) inatosha.
Upo misitu ya Mocambique huko ndanindani kiasi kwamba hujui Hadi kinachoendelea duniani
Matumizi ya gundi ,bangi,ugolo sio mazuri ,epuka upate akili timamu.chelsea wamesajiri wachezaji wa ngapi mpaka sasa?Mkuu Chelsea wanasajili kama Yanga tu.
Utasajili vipi kikosi kizima kila msimu?
Me nadhani tuongeze mchezaji mmoja tu (DM) inatosha.
Nyie hamuoni sajili zenu?Chelsea kasajili kikosi kizima lini tena mzee?Upo misitu ya Mocambique huko ndanindani kiasi kwamba hujui Hadi kinachoendelea duniani
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hongereni kwa kusajili kiroba cha maharage.Matumizi ya gundi ,bangi,ugolo sio mazuri ,epuka upate akili timamu.chelsea wamesajiri wachezaji wa ngapi mpaka sasa?
Tulitoka kufungiwa usajili na kwenye kikosi chetu kulikuwa na madhaifu makubwa nafasi nyingi ndo maan tukafanya sajili hizo .....toka toka kidogo mjini unapitwa na info nyingi MzeeNyie hamuoni sajili zenu?
Mfano msimu ulio pita mumesajili wachezaji wa 5 na wote wameingia kikosi cha kwanza, hiyo si kama Yanga tu.
Mwaka huu mumeanza na Kiloba cha maharage, kisha kwa Kunde na hapo tegemea taka taka nyingine kuongezwa, na zote zinaenda kuanza kikosi cha kwanza.
Hapo munatofauti gani na timu za ligi ya Tanzania?
Chelsea haijawahi kuwa na kikosi cha kudumu, kila baada ya misimu miwili kikosi ni kipya kabisa.

Hicho ndy kitakachotukosesha ubingwa 2021/2022./Babu apige kelele asaidiwe DM anunuliwe.
Sio kila msimu tunaanza tukijua kuna pengo ambalo yeye anachukulia kama sababu ya kutofanya vizuri.
Inakuaje tunashindwa kumalizia hii kazi kwa kutoa 30-50$ kununua DM?
Tatizo la Fred ni saa mbovu.=====
Henderson
AWB Varane Maguire Shaw
Pogba Fred
Sancho Fernandes Rashford
Cavani
========
Good enough to win the league under Ole?
Hakuna unachojua wewe.Mkuu maswala ya kuaangalia Google anamagoli ,sijui assist ndio kimempoteza samata ...
Mpira sio kusubili utafuniwe wewe umalize mpira ,ni udambwi udambwi mwingi ...
Mpira wa kubutua butua tu kama kina lukaku ni wa kizaman na unaenda kuisha soon ,..
Na lukaku kama anaenda Chelsea basi anapotea soon,ile sio timu ya kusubili ushushiwe mpira ubutue golin ,..
Ndio maana aguero hakufit kwenye mfumo wa pep ,ila zaman alikuwa star ,kwan mifumo ya mipira inabadili ..
Na makocha wakubwa tu ndio wanajua hilo ,morihno mpira umemshinda kwasababu kama hizo ...
Modern football ,play as team ,defend as team ,attack as team ,trust me kocha atakayepata wachezaji wa kufiti huo mfumo ,hakuna team itakayoweza kupita hapo ...