Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Owen anacheza CAM na left wing alikuwa timu moja na Emiliano Buendia katika kikosi cha Norwitch kilichoshuka daraja msimu wa 2019/2020 nafikri wameipandisha tena Norwitch wakiwa pamoja ni goal scoring midfield last season Liverpool kuna tetesi walikuwa wanamhitaji ni kijana mdogo tu mwenye mapafu ya mbwa.
Cantwell juzi katoa assist moja ya kinyama sana huko kwenye pre-season..ni mchezaji mzuri..

Kiungo tu akishaweza kukuota mipira na kuwa na jicho la pasi basi huyo tayari ni fundi..This is lacking kwa kijana wetu Van de Beek.
 
Bruno
mufc__latest-___CSMNxs7DIcb___-.jpg
 
Lionel #Messi as a #FCBarcelona player:

672 goals [RECORD]
268 assists [RECORD]
778 games played [RECORD]
6 Ballon d'Or [RECORD]
6 Golden Boots [RECORD]
8 Pichichis [RECORD]
35 titles [RECORD]

Where to next?
Huyu alitakiwa astaafu moja kwa moja au aende Marekani au China wakampe mabilioni.

Hizi rekodi ni hatari sana.
 
Mkuu achakudanganywa na takwimu ,siku hizi takwimu sio kiegezo tena cha kujua mchezaji mzuri ...

Siku hizi mchezaji mzuri anaangaliwa

Ball control

Anavoreceive Mpira na kumantain pass

Anavojituma na kutengeneza nafasi ..

Unaweza kuwa mfungaji wa magoli mengi ,na namba kubwa ya magori lakin ukiangaliwa uwezo wako uwanjan ukiwa na Mpira ni mdogo sana,mfn samata...

Mpira wa kisasa hauendeshwi na hizo takwimu tena ,bali ni observation kwenye pitch...

Kdb hana assist nying wala goli kumzidi Bruno ,lakin kdb akiwa na mpira anavoreceive ,control na kuachia pass ,Bruno hamfikii kabisa ...
 
Hii ni mpya kwangu
 
Hii ni mpya kwangu
Mkuu hii assessment wanatumuaga makocha wengi wakubwa kusajili mchezaji ,takwimu huwa zinaangaliwa lakini sio kigezo kikubwa ...

Mchezaji akiwa kwenye pitch ndio anajiuza ,...

Mtu kama samata anatakwimu nzuri ,ila mwangalie uwanjan anavocheza kwa anayejua mpira ataelewa nachosema....

Hana uwezo wa kuposses mpira hata second 5 ,hawezi kudribble ,
Kupita hata watu wawili ,..,hawezi kuficha mpira anapokuwa na adui ..

Hivyo ni vitu vidogo ,kwa macho ila amini ndio vinambeba mchezaji ...

Grealish hana namba kubwa ya magoli ,ila akiwa na mpira aisee kila mtu yupo na amani uwanjan kuwa ,mpira upo. Sehemu salama ,kwa sababu kumpokonya either umpige rafu au umuache aende..
 
Ila angenunuliwa man u angekuwa wa hovyo au sio.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
"Anything from now is a bonus. I have to say that with the two signings we've got, we've strengthened where we wanted to strengthen. Let's see what happens. You never know in football. Anything can happen with ins and outs."
- OGS
Babu apige kelele asaidiwe DM anunuliwe.
Sio kila msimu tunaanza tukijua kuna pengo ambalo yeye anachukulia kama sababu ya kutofanya vizuri.
Inakuaje tunashindwa kumalizia hii kazi kwa kutoa 30-50$ kununua DM?
 
"Anything from now is a bonus. I have to say that with the two signings we've got, we've strengthened where we wanted to strengthen. Let's see what happens. You never know in football. Anything can happen with ins and outs."
- OGS
Hakuna Dm au another CM wa uhakika kama watu wengi tunavyotaka.

Tutaendelea kuwaona tuche na kapeto aka McFred wakiendelea kutukasirisha.
 
Back
Top Bottom