Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,080
- 12,319
Mida ya saa ngapi kwa saa za afrika mashariki?Tupo uwanjani leo vs Toffies

Saa tisa kasoro robo saa za kwetu umatumbini.Mida ya saa ngapi kwa saa za afrika mashariki?
Nasikia wenye star times wanaona game zote za kirafikiInaoneshwa chanell ipi?
Manchester United Tv (MUTV). StarTimes #264Inaoneshwa chanell ipi?
We dada una matatizoTop four yangu msimu huu
01. Chelsea point 97
02. Man City point 82
03. Liverpool point 75
04. Manure point 71(hapa ni upendeleo tu)
06. Everton....
07. Spurs.....
08. Wolves....
09. Arse8...
10. AstonVilla..
NB: huu misimamo unatokana na usajili timu iliyofanya na idadi ya hazina iliyonayo.
Kwa sasa Chelsea kuna vijana wenye njaa na makombe.
Man city nako hivyo hivyo ila mbinu za Pep zishaingiliwa kinyume na maumbile.
Hii Liverpool haijafanya usajili mkubwa ila wana kocha mwenye kujua nini anafanya.
Hii Manure a.k.a manyumbu a.k.a matakataka a.k.a sijui nini...wana/wamesajili vinabo hivyo sioni kama kuna lolote la maana watafanya huu msimu, mbaya zaidi key players wao wanacheza hii timu kwa sababu ya pesa tu i.e Pogba, Rashid..kocha Ole sio kocha aliyeiva kubeba makombe ..huyu hana tofauti na pochettihno au yule kocha mpya wa Spurs..
Zingine kwenye msimamo Ndo kama hivyo...
Arse8 ataendelea kuwa mshiriki tu wa ligi.
Nenda kacheze na watotot wenzako..Top four yangu msimu huu