Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimejaribu kupanga first eleven yetu bila kuangalia fitness na injury..yaani kama tusipo sajili tena our strongest XI itakuwa ndo hiyo..sio kikosi cha kucheza game za ufunguzi za ligi or something.

Swali langu ni kuwa ni kikosi kinachoweza kutupa ubingwa chini ya mbinu za Ole??.
Kwa mtizamo wangu.
Tatizo la Ole hajawahi kuwa muwazi linapokuja suala la mapungufu ya timu yake kama alivyokuwa Mourinho bali hutoa jibu la pamoja tu kuwa timu imefanya vizuri bila kusemea uwezo wa wachezaji katika nafasi zao. Hivyo inakuwa ngumu kujua kama anaridhika na alichonacho kulingana na mbinu zake au la.
Lakini tumefundishwa kitu tangu ujio wa Bruno kuwa wachezaji wenye kiwango na kiu ya mafaniko ndio wanambeba Ole,hivyo basi kutokana na kundi alilonalo inawezekana akafeli kwa sababu zile zile zilizomfelisha mwaka jana.
.Mbavu ya kulia haipandishi timu
.Kuchezesha Mc Fred Inampunguzia nguvu na idadi kwenye eneo la ushambuliaji.
 
Yaani kwenye usajili sijui tunakwama wapi. Wachezaji wa kawaida ndiyo tuko sokoni wa nguvu tunasepa. Tunaonekana hatuna malengo ya kushinda kikombe chochote musimu huu tena View attachment 1882960
Huyu Ole naye ni kama analetewa wachezaji tu. Sasa kama amemaliza target zake huo mlango kauacha wazi wa kufanya nini?
Ina maana mashabiki na wachambuzi wote hawako sahihi kuhusu nafasi ya DM?
 
Nimejaribu kupanga first eleven yetu bila kuangalia fitness na injury..yaani kama tusipo sajili tena our strongest XI itakuwa ndo hiyo..sio kikosi cha kucheza game za ufunguzi za ligi or something.

Swali langu ni kuwa ni kikosi kinachoweza kutupa ubingwa chini ya mbinu za Ole??.
Si rahisi bado kikosi chepesi. Kwenye nafasi ya namba 9 bado panapwaya mana kuna Cavan tu ndio uhakika ila naye umri si rafiki sana. Pia kuwategemea Rashford, Martial na Greenwood ni kama kucheza kamali tu. Ukijumlisha na uwezo Wa Kocha ndio balaa!
 
Mkuu hii assessment wanatumuaga makocha wengi wakubwa kusajili mchezaji ,takwimu huwa zinaangaliwa lakini sio kigezo kikubwa ...

Mchezaji akiwa kwenye pitch ndio anajiuza ,...

Mtu kama samata anatakwimu nzuri ,ila mwangalie uwanjan anavocheza kwa anayejua mpira ataelewa nachosema....

Hana uwezo wa kuposses mpira hata second 5 ,hawezi kudribble ,
Kupita hata watu wawili ,..,hawezi kuficha mpira anapokuwa na adui ..

Hivyo ni vitu vidogo ,kwa macho ila amini ndio vinambeba mchezaji ...

Grealish hana namba kubwa ya magoli ,ila akiwa na mpira aisee kila mtu yupo na amani uwanjan kuwa ,mpira upo. Sehemu salama ,kwa sababu kumpokonya either umpige rafu au umuache aende..
Leo umeongea point
 
Cantwell juzi katoa assist moja ya kinyama sana huko kwenye pre-season..ni mchezaji mzuri..

Kiungo tu akishaweza kukuota mipira na kuwa na jicho la pasi basi huyo tayari ni fundi..This is lacking kwa kijana wetu Van de Beek.
Van De Beek siyo mkokota mpira ila huwa anautembeza mpira kwa kasi kubwa kuliko kawaida kwa njia ya quick passes.

Tatizo linaijia pale unayetakiwa kumpa pass hafanyi runs sahihi na akipewa pass anapiga back pass.

Kinachomtesa Donny ni intensity ya ligi yetu na ufalme wa Bruno na Pogba.

Nafikiri anajipima kupitia hao viumbe hivyo unapoteza confidence.
 
dean henderson amepewa mapumziko nafikiri alipata corona hivyo upo uwezekano mkubwa wa kuanza ligi na david degea

cavani bado amepewa mapumziko, upo uwezekano wa kuanza ligi huku mshambuliaji akiwa ni greenwood au anthony martial.

kama tutacheza kwa nidhamu kwa dakika 90 za kila mechi kama walivyofanya liverpool misimu miwili iliopita tuna uwezo wa kufanya makubwa bila ya kuangalia maadui wetu wamejipangaje, mechi nyingi tunacheza huku morali ya kuwadhibiti maadui ikiwa ni ndogo (tunazichukulia mechi ni rahisi)

PTER ana maneno yake ya kiengereza anapenda kuyatumia pindi anapomzungumzia Ole na timu yake
Laissez faire attitude
 
barcelona sijui walipatwa na ugonjwa gani uliosababisha kupotea kwa akili za kiuongozi, eti griezmann analipwa takribani euro laki 6 kwa wiki, frankie dejong analipwa takribani euro laki 4.

leo mashabiki wameamua komzomea griezmann pindi alipokuwa anawasili viwanja vya mazoezi, wanaamini uwepo wake ndio sababu ya klabu kushindwa kuafikiana na kanuni zilizowekwa na la liga.
Barcelona walipitia situation kama ya kwetu tu kufanya signing kwa panic bila kuzingatia mahitaji muhimu ya timu.

Baada ya Neymar kuondoka walihitaji sana msaidizi wa Messi wakajitosa kwa Griezman lakini akageuka Ditram Nchimbi
 
1628280521477.png
 
Back
Top Bottom