Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ashley Young kacheza Aston Villa iliyokuwa inapigania nafasi ya tano au sita na haikushindwa kufika hatua hizo kipindi ilikuwa na wachezaji wengi mahiri kama James Millner, Gareth Barry, Agbonlahor na wengineo ni sahihi kabisa Ashley Young kuwa na takwimu hizo.

Jack Grealish kacheza Aston Villa iliyotoka Championship na washambuliaji wakubahatisha bahatisha ila katika kutengeneza nafasi za magoli Grealish anamwacha mbali sana Young.

By the way Aston Villa wameuza Magoli 9 na Assist kadhaa wamenunua magoli 36 na assist nyingi zaidi.

Nategemea ushindani mkubwa kutoka Aston Villa msimu huu.

Leon Bailly Danny Ings Emiliano Buendia
 
namkubali sana Buendia, kwangu mimi ni mtengenezaji mzuri kuliko grealish.

na Young mkuu alikuwa mtu sana, usisahau alikua na record ya uchezaji bora wa mwezi mara nyingi ndani ya Msimu kabla bruno hajaivunja msimu uliopita.
 
Ni kweli Buendia ni hatari sana ila ujio wa Leon Bailly Front three ya Aston Villa itakuwa ya kuogopa sana.

Nimeona tetesi wanamuwinda Owen Cantwell.

Ni kweli Ashley Young alikuwa mtengenezaji mzuri probably kwa sababu anamzidi Grealish Speed na Young alikuwa clinical golini kuliko Grealish
 
simjui vizuri huyu jamaa, ila nimemcheki naona ni left midfield position ya Grealish.
 
Leon Bailly ni winger anayecheza wings zote kushoto na kulia ila KRC Genk alikuwa akicheza Right wing na Bayer Leverkusen napo ni hivyo hivyo.

Msimu uliopita haukuwa mzuri sana kutokana na majeraha ya mara kwa mara.

Hata misimu kadhaa nyuma tulianza kumwinda baada ya kukosa wing wa kulia muda mrefu.
 
Baily namjua, namaanisha huyo dogo owen.
 
Owen anacheza CAM na left wing alikuwa timu moja na Emiliano Buendia katika kikosi cha Norwitch kilichoshuka daraja msimu wa 2019/2020 nafikri wameipandisha tena Norwitch wakiwa pamoja ni goal scoring midfield last season Liverpool kuna tetesi walikuwa wanamhitaji ni kijana mdogo tu mwenye mapafu ya mbwa.
 
Ni kweli Buendia ni hatari sana ila ujio wa Leon Bailly Front three ya Aston Villa itakuwa ya kuogopa sana.

Nimeona tetesi wanamuwinda Owen Cantwell.

Ni kweli Ashley Young alikuwa mtengenezaji mzuri probably kwa sababu anamzidi Grealish Speed na Young alikuwa clinical golini kuliko Grealish
Ni tod cantwel wa norwich na si owen cantwel
 
Tofauti na huyu ?
20210805_231615.jpg
 
🐐 Lionel #Messi as a #FCBarcelona player:

👉 672 goals [RECORD]
👉 268 assists [RECORD]
👉 778 games played [RECORD]
👉 6 Ballon d'Or [RECORD]
👉 6 Golden Boots [RECORD]
👉 8 Pichichis [RECORD]
👉 35 titles [RECORD]

Where to next? 🤔👀
 
The real situation for Barcelona right now is that the registration of new signings cannot be guaranteed either, not just Messi. With the current regulations of the LFP there will be problems if they do not release players and wages. That is the harsh reality of Barcelona 2021-2022 @alfremartinezz
 
Ashley Young kacheza Aston Villa iliyokuwa inapigania nafasi ya tano au sita na haikushindwa kufika hatua hizo kipindi ilikuwa na wachezaji wengi mahiri kama James Millner, Gareth Barry, Agbonlahor na wengineo ni sahihi kabisa Ashley Young kuwa na takwimu hizo.

Jack Grealish kacheza Aston Villa iliyotoka Championship na washambuliaji wakubahatisha bahatisha ila katika kutengeneza nafasi za magoli Grealish anamwacha mbali sana Young.

By the way Aston Villa wameuza Magoli 9 na Assist kadhaa wamenunua magoli 36 na assist nyingi zaidi.

Nategemea ushindani mkubwa kutoka Aston Villa msimu huu.

Leon Bailly Danny Ings Emiliano Buendia
Pia Grealish possibly angepaswa kutengeneza na kufunga magoli zaidi kwakuwa amecheza akiwa ligi relative simple (championship) wakati Young amefanya vyema akiwa ligi relative tough (EPL)

Pia Aston ya Young haikuwa contender wa league title kwahiyo haikuwa timu bora kivile. Na Astoni Villa mbovu ya Grealish ni ile ya msimu wa kwanza tu wa ligi kuu, msimu uliofuata imekuwa imara sana
 
Back
Top Bottom