Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tulichokula jana.
20210805_140206.jpg
 
World class DM kwa dunia ya sasa hawezi kuwa chini ya hiyo pesa mkuu tusidanganyane..hata tukimtaka NDIDI basi lazima mpunge utoke wa kutosha..

Au nitajie World class DM ambaye atakuwa first choice kwa bei rahisi.
Tena waambie awe proven mkuu , sio wa kuja kusubiri !! 50m wanapatikana, bt waingereza wachezaji wao ni untouchable! City akijichanganya atatoa 150-170 kwa harry, huyo tayari keshashikwa maskio kakubali 100 kwa jackG
 
upo uwezekano mdogo sana wa kusajili mchezaji mwengine bila ya kutunisha mfuko kwa kuondoa wachezaji waliopo, nategemea usajili wa CDM kufanyika mwishoni mwa mwezi huu ndio maana si ajabu tupo kimya sana, kipaombele cha klabu ni kufuatilia suala la paul pogba juu ya mustakabali wake
 
Chief-Mkwawa unadhani klabu kuweka kipengele cha kulipwa fedha kwa baadhi ya wachezaji wanaovumishwa kutakiwa kwa mkopo na vilabu vyenginevyeo ni jambo sahihi?
  • jaribu kurejea tetesi za diogo dalot ambazo zinadai klabu inataka euro millioni 5 na kiwepo kipengelea cha kumnunua
  • rejea tetesi za brandon williams ambazo zinadai klabu inataka euro millioni 2 na kiwepo kipengelea cha kumnunua
  • vile vile rejea tetesi za axel tuanzebe anayetakiwa na Aston villa pamoja na newcastle united
najua klabu inataka kukusanya pesa ili kutunisha mfuko pamoja na kupunguza gape la manunuzi dhidi ya mauzo, nje ya hapo hatuoni kama tunajitengenezea mazingira magumu ya kuvutia wachezaji wetu kwenye soko la ushindani.
 
Scotty alipofika hana maajabu zaidi ya haya!!! Fred wale wale,,,!

Tunahitaji DM wa uhakika
Scott mimi simwonagi kama ni mchezaji mwenye technical ability yoyote..yupoyupo tu na pia hayupo sharp.

Fred naye ameshindwa kabisa kutufanya tumwamini.

Matic is dead and gone.

Tunahitaji DM aisee..kuna vichezaji kibao tu vya kuviuza na kupata mtonyo..bora tuwauze hata kwa mafungu.
 
Chief-Mkwawa unadhani klabu kuweka kipengele cha kulipwa fedha kwa baadhi ya wachezaji wanaovumishwa kutakiwa kwa mkopo na vilabu vyenginevyeo ni jambo sahihi?
  • jaribu kurejea tetesi za diogo dalot ambazo zinadai klabu inataka euro millioni 5 na kiwepo kipengelea cha kumnunua
  • rejea tetesi za brandon williams ambazo zinadai klabu inataka euro millioni 2 na kiwepo kipengelea cha kumnunua
  • vile vile rejea tetesi za axel tuanzebe anayetakiwa na Aston villa pamoja na newcastle united
najua klabu inataka kukusanya pesa ili kutunisha mfuko pamoja na kupunguza gape la manunuzi dhidi ya mauzo, nje ya hapo hatuoni kama tunajitengenezea mazingira magumu ya kuvutia wachezaji wetu kwenye soko la ushindani.
Mkuu sasa hivi tuna Dof na watu competent kule juu, ukisoma Deal la varane lilivyokamilishwa utaona Man u ya Sasa si kama Ya Woodward. Kuna watu wa naelewa wanachofanya.

Just Imagine Tammy Abraham Chelsea wanamuuza kwa pound milioni 40, Tomori takriban 28M, kifupi jamaa wa najua kuuza,

Njoo sisi sasa mpaka zile top Talent za Academy yetu sometime zinaondoka Bure ama Hela za hovyo, na wachezaji tunaouza wanaondoka kwa hasara, mfano Pogba, Di Maria, depay, na wengineo.

My guess jamaa wanaanza kurekebisha uuzaji wa wachezaji, Mfano Tuanzebe ni proven Talent kwa Aston Villa, yeye ndio aliwapandisha Daraja, wa namjua vizuri, unless tunamtaka Tuanzebe hakuna haja ya kumtoa kwa bei rahisi.

Same kwa hao Milan, wameshakaa na Dalot msimu mmoja wa namjua, why wa take azeekee kwao kwa mkopo? Kama wanataka mkopo kuwe na obligation ya Kumnunua, Dalot si mtoto tena Kusema anaenda pata Uzoefu.

Hivyo mkuu mimi binafsi Naunga mkono hizi Changes.
 
Scott mimi simwonagi kama ni mchezaji mwenye technical ability yoyote..yupoyupo tu na pia hayupo sharp.

Fred naye ameshindwa kabisa kutufanya tumwamini.

Matic is dead and gone.

Tunahitaji DM aisee..kuna vichezaji kibao tu vya kuviuza na kupata mtonyo..bora tuwauze hata kwa mafungu.
Unless tuna switch 4-3-3 ila kama tunacheza Double pivot Fred ni proved Ball winner, hata copa America ame prove ni solid Midfielder.

Aje tu Ball playing DM mtu design ya Jorginho kum complement Fred, sababu Fred Anakaba mtu, a nahitaji partner anayekaba Nafasi.

Neves, Camavinga ndio tupo linked nao sana.
 
Back
Top Bottom