Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Labda tupate majeruhi ya first eleven.

Kama wapo wote fit.

Wachezaji wazuri watampa taji ole.

433 ndy mpango.
Kipa Degea - kesharidhika na maisha
Beki Varane - keshabeba kila kitu
Kiungo Pogba - hana furaha na manure
Mshambuliaji Sancho - ni Rashid aliyechangamka.
Martial, Matic, Mata - hawa muda wao unazidi kuyoyoma.

Bruno nzuri lakini siyo wa kuleta makombe.
Mruguayi yule atawabeba kidogo lakini baadae atachoka.

Siyoni hii Manure ikifika hata robo fainali uefa. Achilia mbali ligi..
Huyu Ole naona atakuwa ni Failed Project siku za usoni..
 
Tunaanza na game 15 bila kufngwa wala draw
 
Namba moja ni Henderson, sio degea.
Varane ni Rio Ferdinand mpya .
Amekuja kuleta makombe.

Pacha ya Sancho rashford na Cavan haijawahi tokea England.
Ni hatari ya danger.

Pogba hategemewi sn man u.
Kuna kifaa kinakuja DM kuja kubalance timu.

Matic,,,mata hawana nafasi 11 first team.
 
Varane huyu sio Yule wa miaka ya nyuma wanachukua uefa 3 consecutively ...alishatoka kwenye peak yake muda ni hakimu sahihi

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Namba moja ni Henderson, sio degea.
Varane ni Rio Ferdinand mpya .
Amekuja kuleta makombe.

Pacha ya Sancho rashford na Cavan haijawahi tokea England.
Ni hatari ya danger.

Pogba hategemewi sn man u.
Kuna kifaa kinakuja DM kuja kubalance timu.

Matic,,,mata hawana nafasi 11 first team.
Ohooo saiv bek ndoo analeta makombe au cjaelew vzr
 
Namba moja ni Henderson, sio degea.
Varane ni Rio Ferdinand mpya .
Amekuja kuleta makombe.

Pacha ya Sancho rashford na Cavan haijawahi tokea England.
Ni hatari ya danger.

Pogba hategemewi sn man u.
Kuna kifaa kinakuja DM kuja kubalance timu.

Matic,,,mata hawana nafasi 11 first team.
Varane wako wawili tofauti. Yule wa triple uefa na huyu sasa ambaye hata Zouma anaweza kumficha ndo umfananishe na Rio Ferdinand?
Huyu Henderson mule mule tu kama Degea ..juzi mlivyopigwa 4 na QPR nani alikuwa langoni?
Bado sijaona wa kumkata namba Pogba.
Kama unategemea Sancho ndo aje abadilishe ile front yenu basi hapo mtakuwa ni sawa na mnatwanga maji kwenye kinu.
Cavan na Bruno wanaweza wakawapeleka popote lakini siyo kwenye makombe.
 
Back
Top Bottom