Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi ruby ina thamani sana eehh na je inachimbwa chini au ndo km nilivyoaminishwa inatoka kwa samaki.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mkuu, Ruby inachimbwa chini ya ardhi, tena haina kipimo (kama cha dhahabu) kujua mahala hapa ipo ama haipo.

Ni mchezo wa bahati na sibu tu.
:::::::::::::::::::::::::::::::::::::

Ruby gram nne yenye sifa zinazo hitajika (shepu mzuri, rangi iliyo kolea) unauhakika wa kuiuza mpaka Dollar 2000,000 (dollar milioni mbili) ukiwa na aidia nayo.
Cha muhimu uwe na idia nayo tu.
 
Hapo manaake ina thamani kuliko dhahabu, almasi au hata Tanzanite.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Varane wako wawili tofauti. Yule wa triple uefa na huyu sasa ambaye hata Zouma anaweza kumficha ndo umfananishe na Rio Ferdinand?
Huyu Henderson mule mule tu kama Degea ..juzi mlivyopigwa 4 na QPR nani alikuwa langoni?
Bado sijaona wa kumkata namba Pogba.
Kama unategemea Sancho ndo aje abadilishe ile front yenu basi hapo mtakuwa ni sawa na mnatwanga maji kwenye kinu.
Cavan na Bruno wanaweza wakawapeleka popote lakini siyo kwenye makombe.
Nimeanza kusoma nilipofikia hapo kwenye 'Triple Uefa' ubongo akaacha kuchakata data fasta...daaah!

Bongo siami ng'ooo

Melvine
 
Kipa Degea - kesharidhika na maisha
Beki Varane - keshabeba kila kitu
Kiungo Pogba - hana furaha na manure
Mshambuliaji Sancho - ni Rashid aliyechangamka.
Martial, Matic, Mata - hawa muda wao unazidi kuyoyoma.

Bruno nzuri lakini siyo wa kuleta makombe.
Mruguayi yule atawabeba kidogo lakini baadae atachoka.

Siyoni hii Manure ikifika hata robo fainali uefa. Achilia mbali ligi..
Huyu Ole naona atakuwa ni Failed Project siku za usoni..
kama vile unaishi nao nyumba moja. wabongo bwana hahaba
 
Hivi hizi tetesi za Kieran Trippier ni za kweli? No need for Trippier as we have Dalot.

Tumefanya vizuri sana sokoni mpaka sasa. We just need a defensive midfielder now that’s all.
 
Varane wako wawili tofauti. Yule wa triple uefa na huyu sasa ambaye hata Zouma anaweza kumficha ndo umfananishe na Rio Ferdinand?
Huyu Henderson mule mule tu kama Degea ..juzi mlivyopigwa 4 na QPR nani alikuwa langoni?
Bado sijaona wa kumkata namba Pogba.
Kama unategemea Sancho ndo aje abadilishe ile front yenu basi hapo mtakuwa ni sawa na mnatwanga maji kwenye kinu.
Cavan na Bruno wanaweza wakawapeleka popote lakini siyo kwenye makombe.
Time will tell mkuu,,lakini namuamini sana jamaa,,

He is calm with the ball and he score goals too.
 
Back
Top Bottom