The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Wako vzr ukweli usemwe tu, mda mrefu nilikuwa nawaangalia tangu Uefa Nations nikawaambia watu kwamba co muda mrefu England itafanya maajabu cz wako serious na wanachotaka na walipunguza mbwembwe zilizokuwa zikiwaharibia.Sijui wamefikaje fainali
Wana kelele sana mbwa hawa
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app