BadoHuyu Pogba mbona tunamueka sana kwenye mipango yetu?..Kashasaini extension ya mkataba?.
Kulikuwa na tetesi kwamba ole ni baba wa kambo wa martial..Wew ulishamchoka Mwalimu je ?
Hyo hauzwi...a sign asi sign hauzwi...Huyu Pogba mbona tunamueka sana kwenye mipango yetu?..Kashasaini extension ya mkataba?.
Mipango gani mzee?,mtu hataki kuongeza mkataba na amebakisha mwaka mmoja ni bora aende farmers league huko sisi tujipange mapema.Hyo hauzwi...a sign asi sign hauzwi...
Still kocha ana mipango nae
Mkuu. Niwekee first 11 mmoja mmoja,, usiweke lundo la wachezaji.Kama unataka wawepo attacking midfielders wote wa united panga cha kwako.
Ila kwa 4 2 3 1 ya Ole kikosi kitakuwa hivi.
Cavan/ Martial
Rashford Bruno Sancho
Fred/ Matic Scot/Pogba/ James Garner
Shaw/ Alex Maguire Lindelof Bissaka/ Tripier.
Henderson/De Gea.
Hiyo ndiyo 4 2 3 1 ya Ole.
Mkuu. Niwekee first 11 mmoja mmoja,, usiweke lundo la wachezaji.Kama unataka wawepo attacking midfielders wote wa united panga cha kwako.
Ila kwa 4 2 3 1 ya Ole kikosi kitakuwa hivi.
Cavan/ Martial
Rashford Bruno Sancho
Fred/ Matic Scot/Pogba/ James Garner
Shaw/ Alex Maguire Lindelof Bissaka/ Tripier.
Henderson/De Gea.
Hiyo ndiyo 4 2 3 1 ya Ole.
Tatizo la pogba ni wakala wake.Mipango gani mzee?,mtu hataki kuongeza mkataba na amebakisha mwaka mmoja ni bora aende farmers league huko sisi tujipange mapema.
Mkuu Camavinga anaweza kuja kumaliza DM mwenyewe sio na kuingia direct kwe XI?Mkuu. Niwekee first 11 mmoja mmoja,, usiweke lundo la wachezaji.
Weka kikosi cha first 11....
.rashford.Cavani.Sancho.
Bruno..pogba.
Camaving.
Shaw.magwea.varane.bisaka.
Henderson.
Nipangie first 11.. Only wakiwa na double DM..
Sancho,, rashford. Pogba ,Bruno.
Niwekee hapa..
Kwann asiingie? Wakati DM tulionao kuna kipindi wanarukwa na akili.Mkuu Camavinga anaweza kuja kumaliza DM mwenyewe sio na kuingia direct kwe XI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo formation ni ipi ?Ngoja nikusaidie mkuu @ Peter .
Tukimpata varane na camaving kikosi kitakuwa hivyo..
Huo ndy mfumo wa single DM..View attachment 1844910
Mara nyingi tukicheza diamond tunaua winger moja na kuchezesha pogba pembeni au van de beek.Ndiyo maana nimekwambia huelewi unachokiongelea.
Mechi zote ambazo Paul Pogba ameanza tumecheza 4 4 2 Diamond.
Na mechi ambazo Scot na Fred na Bruno zote tunacheza 4 2 3 1.
Kama ulifuatilia vizuri jambo ambalo nina wasi wasi nalo kama huwa unafuatilia mechi zote za UEFA Ole alitumia 4 4 2 diamond.
Na mechi nyingi za FA pia alitumia 4 4 2 diamond isipokuwa tu alipokuwa anakutana na timu dhaifu sana.
Camavinga ni Central Midfielder hawezi kucheza kama lone DM unless kama umeamua kubisha tu.Kwann asiingie? Wakati DM tulionao kuna kipindi wanarukwa na akili.
Huyo Dogo ni mzuri kuliko tulio nao.
Anapokonya mipira,,
Pasi zina macho.
Japokuwa sio world class DM..
Mfumo wa zamani,,Hapo formation ni ipi ?
Yaani Camavinga awaondoe Fred na Scot kwenye midfield ?Kwann asiingie? Wakati DM tulionao kuna kipindi wanarukwa na akili.
Huyo Dogo ni mzuri kuliko tulio nao.
Anapokonya mipira,,
Pasi zina macho.
Japokuwa sio world class DM..
Mfumo wa zamani upi huo ?Mfumo wa zamani,,
Pogba na Bruno wanacheza juu..
Camaving chini..
Wings zinamwaga maji kwa cavani..
CavaniMkuu. Niwekee first 11 mmoja mmoja,, usiweke lundo la wachezaji.
Weka kikosi cha first 11....
Man u akiwemo Sancho ,,rashford,,
Cavan
Bruno na pogba.
Na double DM.. Pamoja ..
Mkuu,,,nimekuuliza kwanza niletee kikosi cha man u.first 11.Camavinga ni Central Midfielder hawezi kucheza kama lone DM unless kama umeamua kubisha tu.
Hata kwenye kikosi cha Rennes hachezi kama lone DM
Fred na Macc tommy wana maajabu gani?Yaani Camavinga awaondoe Fred na Scot kwenye midfield ?
Utasubiri sana