Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Anacheza vzr akiwa national team, ss sijui huku kwetu kuna nini.
Huku kwetu kuna tatizo la kutojua namna ya kuwatumia wachezaji kulingana na uwezo walionao. Mimi huwa Naamini kama tungekuwa na kocha mwenye mbinu nzuri kiuchezaji na mchezo Wa kuvutia basi hata akina VDB wasingeonekana kama wameshindwa kucheza Man U
 
Ndugu blunder anazofanya Harry huku United huwa zinakera sana aisee, huwa hachukiwi bure tu!
Nachotaka kusema hapa ni kuwa Maguire plus hizo blander bado ni beki mzuri mkuu,tunamtukana kwa hasira tu na sio lolote..tukifanya analysis vizuri tutaona kuwa wanaomsaidia pia kuna level hawajafika..Lindelof+Bailly bado mkuu..Tunahitaji mtu wa kucheza na Maguire.
 
Halafu huwa naona Rahim aidha kutokana na rangi yake ama hana nyota ya kupendwa sana ktk timu ya taifa. Pamoja na mchango wake kwenye timu ya taifa hasa tokea mashindano haya yaanze hajawahi kuimbwa,kushangiliwa na kusifiwa kama Harry Kane alivyofunga goli dhidi ya ujerumani
 
Nachotaka kusema hapa ni kuwa Maguire plus hizo blander bado ni beki mzuri mkuu,tunamtukana kwa hasira tu na sio lolote..tukifanya analysis vizuri tutaona kuwa wanaomsaidia pia kuna level hawajafika..Lindelof+Bailly bado mkuu..Tunahitaji mtu wa kucheza na Maguire.
Sahihi!
 
Uingereza ina golden generation isiyosemwa! Japo kocha wao huwa namuona ni kama anategemea uwezo binafsi Wa wachezaji kuliko mipango yake
Kocha yuko vzr mkuu, tazama jinsi anavyowatumia wachezaji na jinc anavyofanya sub zake, cku ile kocha wa Denmark alimaliza sub zote wkt Southgate silaha zake kibao zilikuwa nje na alikuwa kafanya sub moja tu.
 
Mkuu mbona anakuwa akifanya makosa ya kuonekana kwa macho kabisa,au apimwe kwa tackles na interceptions nyingi wakati nyavu zinafumuliwa tu
Apimwe kwa tackles alizocheza

Apimwe kwa interception alizofanya

Apimwe kwa aerial due alizo win

Apimwe kwa dribbling kuanzisha mashambulizi (mabeki wa kisasa)

Apimwe kwa pass alizopiga zilizofika (mabeki wa kisasa)

Apimwe kwa mechi alizocheza (kuwa fiti)

Katika vyote hivyo yupo top 5 kwa mabeki wa kati duniani,

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Basi nadhani tatizo la united mwisho wa siku linarudi kuwa la OLE na udhaifu wake kiufundi.
Ndani ya hii euro2020,lindelof kaupiga mwingi hadi kawa man of the match kwenye mechi yao dhidi ya hispania
Maguire kauwasha mwingi sana ndani ya game 5 alizocheza ndani ya kikosi cha england
Kuna watu wanamfuatilia fred the red na brazil yake kwenye copa,nasikia fabinho na casemiro wanasubiriana atakayechemsha ampishe mwenzake.
Lakini wachezaji hao hao wakiwa chini ya ole tunashuhudia makosa ya wazi wazi kabisa.
Ni mtizamo wangu tu ila tuendelee kuangaza tatizo la united liko wapi hadi sasa.
 
Kinachomponza Ole ni kutokuwa na balance

Mfano Maquire pale Uingereza ana viungo kama Philips na Rice mbele yake

Fred ana partner na Casemiro Mkata umeme

Maquire na Lindelof ni kama mabeki wa aina moja wote hawana pace na silaha yao kubwa ni ball playing ability, lakini Maquire kamuacha Lindelof kwenye kushinda duels hususani aerial duels.

Tatizo kubwa ni balance

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Paul pogba anatarajiwa kutangaza uamuzi wake juu ya mustakabali wake wa kisoka wiki hii.
Huyu jamaa tungemuachia tu ili tutengeneze timu ya kukaa misimu 3 hadi 5 pamoja.
Kwa maandalizi yetu sioni tukifanya makubwa sana msimu ujao hivyo tungeandaa wachezaji kuliko kumkumbatia labile ambaye haonekani kututaka tena.
 
Back
Top Bottom