Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mara nyingi tukicheza diamond tunaua winger moja na kuchezesha pogba pembeni au van de beek.

Bruno,,juu

Tommy na fredy DM..

Na huo mfumo hauna maajabu yeyote zaidi ya kuambulia kipigo.
Yes lazima uue winga kwa sababu 4 4 2 diamond hautumii wings
 
Mkuu,,,nimekuuliza kwanza niletee kikosi cha man u.first 11.

Wakiwemo DM double, pamoja na double attacking midifilders.
Sancho na rashford..
Kama hukupata wachezaji 12 uwanjani..

Ili tuendelee na mengine.

Hiyo Dogo ni DM....ndy asili yake. Na ananunuliwa sababu ya hyo..
4 2 3 1 haina double attacking midfielder labda kama unataka formation yako mwenyewe weka.
 
Kwann asiingie? Wakati DM tulionao kuna kipindi wanarukwa na akili.

Huyo Dogo ni mzuri kuliko tulio nao.

Anapokonya mipira,,
Pasi zina macho.

Japokuwa sio world class DM..
Unataka kuniambia anaweza tough game+kupokonya mipira kumzidi Fred?..na tukumbuke hii ni EPL.

Ngoja tena nikamcheki Youtube.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 2 3 1 haina double attacking midfielder labda kama unataka formation yako mwenyewe weka.
Mkuu wacha formula,,weka kikosi akiwemo Sancho,Cavan, rashford. Bruno. Pogba,Fred, tommy..

Kama hawakuzidi uwanjani
 
Mkuu wacha formula,,weka kikosi akiwemo Sancho,Cavan, rashford. Bruno. Pogba,Fred, tommy..

Kama hawakuzidi uwanjani
Tulikuwa tunazungumzia preffered formation ya Ole kama unajua hiyo double attacking anayotumia Ole weka wewe.
 
Mkuu wacha formula,,weka kikosi akiwemo Sancho,Cavan, rashford. Bruno. Pogba,Fred, tommy..

Kama hawakuzidi uwanjani
Hivi mfano wakicheza Fred + Pogba hiyo inakuwa sio double pivot?..

Tunashida lakini shida nyingine ni hii ya kumlea Pogba kama Yai..anaacha kucheza kwa discipline anasingizia hawezi kukaba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kuniambia anaweza tough game+kupokonya mipira kumzidi Fred?..na tukumbuke hii ni EPL.

Ngoja tena nikamcheki Youtube.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hyo Dogo mm nimemuangalia uwanjani,,
Tena tough game.
.renes ilicheza na PSG.

Iliyosheheni viungo world class..

Lakini Dogo akiwapoteza akina verati,,guaye.dimaria na PSG ililala sababu ya huyo Dogo...
Tatizo bado sio strong sababu ya umri..

Ila ana maajabu mguuni.
 
Naona mpo kwenye taaluma ya football. Mi bado sijaona aggressiveness katika usajili. Naona ni kama ya miaka yote.
 
Tulikuwa tunazungumzia preffered formation ya Ole kama unajua hiyo double attacking anayotumia Ole weka wewe.
Rashford, cavani,greenwood.
Bruno.
Fredy.macc Tommy.
Shaw.magwea,lindleof.wan bisaka.

Degea..

huo ndy mfumo wetu wa DOUBLE DM.

Bruno anabebeshwa mzigo mzito sn wa kutafuta chance za kulisha wafungaji.

Hapo ni lazima tuweke DM mmoja nje aingie attacking MIDIFILDER aina ya Pogba ili apande juu,
acheze 8

Mfumo huo tunamchosha Bruno,anakuwa anacheza 10 na 8 pamoja.

Kama ushawahi kuona timu inapata matokeo siku Bruno akiwa on fire,siku akibanwa hakuna maajabu yeyote kwa man u.
 
Back
Top Bottom