Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hakuna niliposema hivyo.
Mkuu umesema kwamba rashford, Sancho,
Bruno pogba,cavani, ,,Fred na Macc tommy ndy mfumo atakaotumia ole.
Nikakwambiya lazima DM mmoja awe nje.
Ndy maana tunahitaji DM world class ili acheze peke yake.
Mtindo wa kuwaweka Fred,na Mac Tommy ni kupoteza uwezo wa attacking.
Pia wameshindwa kuitendea haki DM .
Ukabisha sn.

ndy maana nikakulazimisha uniwekee kikosi cha man u wakiwemo hao wachezaji na.Sancho akiwemo kama hawajawa 12...

Matokeo yake ukaja na statistics za formula .

Lazima Fred ,au tommy mmoja aanze,,na hawana ubora unaostahili man u.
Ndy maana anatafutwa mmoja ambaye atacheza kama DM .
 
Ni double pivot

Hata akicheza Carrick na Fletcher ni double pivot ila

Mwandende yeye anaona hapo ni attack attack
Fretcher anacheza juu mkuu..
Carick anacheza DM lakini anapandisha timu,
Tena Carrick sio box to box DM.
Carrick anapiga pasi za kuhamisha uwanja hadi uwanja..
Anapokonya mipira ,,ana pasi zenye macho,,
Tena long pass ..

Carrick tangu astaafu hatujapata kiungo wa aina yake..

Ilikuwa anacheza Carik na fetcher .
Au Carrick na schoels
 
Ni double pivot

Hata akicheza Carrick na Fletcher ni double pivot ila

Mwandende yeye anaona hapo ni attack attack
Mkuu unajuwa tofauti ya attacking mediflder na defensive mediflder?
 
Danny ings sio levo za Manchester United.
Aendelee hapo hapo Soton.
Bali wale mastriker wanaopiga vichwa wamefumba macho ndy level ya man u..

Tutasubiri sn vikombe vya chai.
Hata cavani mliponda zaidi ya hivi.
Mwisho wa siku aibu naona mm..
 
Screenshot_20210708-075317.jpg
 
Martial wala Ings wote ni average players hawatufai.
Ni kwl lakini hata ukichaa unatofautiana mkuu.

Kichaa msema peke yake tofauti na kichaa muokota makopo.

Man u wanahitaji striker..kumsaidia Cavan.

Na za kunyapia ni kwamba pesa za kumpata kanny hawana..
Ni bora kumpata ings kuliko kukosa striker kabisa.
 
Mkuu umesema kwamba rashford, Sancho,
Bruno pogba,cavani, ,,Fred na Macc tommy ndy mfumo atakaotumia ole.
Nikakwambiya lazima DM mmoja awe nje.
Ndy maana tunahitaji DM world class ili acheze peke yake.
Mtindo wa kuwaweka Fred,na Mac Tommy ni kupoteza uwezo wa attacking.
Pia wameshindwa kuitendea haki DM .
Ukabisha sn.

ndy maana nikakulazimisha uniwekee kikosi cha man u wakiwemo hao wachezaji na.Sancho akiwemo kama hawajawa 12...

Matokeo yake ukaja na statistics za formula .

Lazima Fred ,au tommy mmoja aanze,,na hawana ubora unaostahili man u.
Ndy maana anatafutwa mmoja ambaye atacheza kama DM .
Quote hiyo statement niliyosema nitakujibu
 
Ni kwl lakini hata ukichaa unatofautiana mkuu.

Kichaa msema peke yake tofauti na kichaa muokota makopo.

Man u wanahitaji striker..kumsaidia Cavan.

Na za kunyapia ni kwamba pesa za kumpata kanny hawana..
Ni bora kumpata ings kuliko kukosa striker kabisa.
hahahahahahaha dah
 
Martial wala Ings wote ni average players hawatufai.
Jamaa kuna mahala alisema tuondoe vilaza halafu tulete wanaojielewa lakini bado anafurahi sisi kuhusishwa na Danny Ings.

Kiukweli huyu Ings amewagomea Soton mkataba mpya anajua sisi tutamlipa pesa nzuri na atapata first class medical attention.
 
Back
Top Bottom