Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu jamaa tungemuachia tu ili tutengeneze timu ya kukaa misimu 3 hadi 5 pamoja.
Kwa maandalizi yetu sioni tukifanya makubwa sana msimu ujao hivyo tungeandaa wachezaji kuliko kumkumbatia labile ambaye haonekani kututaka tena.
Exactly..Pogba inabidi aondoke tu kwa sasa kama ameichoka United..tujipange tusajili hapo katikati tupate balance nzuri.
 
Huyu jamaa tungemuachia tu ili tutengeneze timu ya kukaa misimu 3 hadi 5 pamoja.
Kwa maandalizi yetu sioni tukifanya makubwa sana msimu ujao hivyo tungeandaa wachezaji kuliko kumkumbatia labile ambaye haonekani kututaka tena.
kwa muda mrefu tumekuwa tukishusha shutuma dhidi ya paul ya kwamba anacheza chini ya kiwango tunachokishuhudia akiwemo sehemu nyengine mfano france au juventus. hata chini ya Ole tumeshashuhudia paul pogba akihamishiwa position tatu tofauti lakini bado jina lake halijakaa ndani ya mioyo yetu kwa sababu ya kiwango chake kisichotabirika.

kufuatia tetesi za kuondoka kwake je ni mchezaji yupi unayemfahamu unadhani anaweza kuziba nafasi kwa usahihi zaidi yake?
 
1. Marcelo Sabitzer.
2. Dominic Szoboszlai
3. Joao Palhinha.
4. Marco's Llolente
 
1. Marcelo Sabitzer.
2. Dominic Szoboszlai
3. Joao Palhinha.
4. Marco's Llolente
  • namba 3 na 4 sidhani kama wanalingana na paul ila nitajiridhisha kwa kuwafuatilia zaidi,
  • 1 na 2 sijawafuatilia
tukumbuke tuna tatizo kubwa la ubunifu kuanzia chini kwenda pale mbele (kila siku tunawalaumu mcfred)
kwa mukhtadha huo naweza kumbadilisha paul pogba dhidi ya marco verratti huku nikifuatilia situation ya barcelona ilio na wakati mgumu zaidi kifedha, wakifilisika namchukua frank de jong
teh teh teh
 
napendekeza huyu bwana mdogo abakishwe premier league ikiwezekana hata newcastle united. kwanza steve bruce ni mtoto wa fergie (alikuwa nahodha wa man utd)
1626030253923.png
 
Marco Verrati ni kiungo mzuri sana lakini amekuwa na majeraha ya mara kwa mara hasa ya muda mrefu.

Ni msimu wa tatu mfululizo hamalizi msimu bila majeraha.

Marco's Llolente ni kiungo mzuri tu tena goal scoring midfielder nimemfuatilia Diego pale midfield yake inapozidiwa maarifa huwa anamnyanyua Llolente.
 
  • namba 3 na 4 sidhani kama wanalingana na paul ila nitajiridhisha kwa kuwafuatilia zaidi,
  • 1 na 2 sijawafuatilia
tukumbuke tuna tatizo kubwa la ubunifu kuanzia chini kwenda pale mbele (kila siku tunawalaumu mcfred)
kwa mukhtadha huo naweza kumbadilisha paul pogba dhidi ya marco verratti huku nikifuatilia situation ya barcelona ilio na wakati mgumu zaidi kifedha, wakifilisika namchukua frank de jong
teh teh teh
Marcel Sabitzer ndiyo engine ya RB Liepzig.

Dominic Szoboszlai ni kijana mdogo mwenye future kubwa sana anacheza national team ya Hungary ila alipata majeraha mwishoni mwa msimu ndiyo maana hajacheza Euro.
 
Mkuu yani hao ndio wawe warithi wa Pogba? Mbona umeweka wachezaji wa kawaida sana na hapo unaweza kuta wote wameflop....they dont offer hata nusu ya anachotoa Pogba
Mimi nimetaja hao ninao waona wanaweza kuwa mbadala wake Paul.

Kumbuka hatutafuti like to like replacement vinginevyo hatutapata.

Na Kati ya nilitaja hakuna flop hata mmoja
 
Back
Top Bottom