Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukiangalia mechi za PSG,
Gana Gueye na Hererra.

Parades na Verrati

Herrera na Paredes wakati mwingine na Danilo au Maquinho huwa wanacheza midfield vipi wanadefence dhaifu ?
Mkuu usipende kubishana sana,,hakuna timu inayocheza Mpira wa attacking ikaweka double DM,,
inajulikana siku zote kwamba ukiweka double DM ni Mpira wa kujilinda zaidi na kucheza kwa tahadhari.

Hyo PSG inayocheza kwa double DM unaweza kujuwa inacheza kwa kutafuta suluhu au ushindi?.
Kuna kipindi wanachezesha wote DM 3 kwa pamoja.
Herera anatokea kulia...

Yote ni kubalance mashambulizi ya timu pinzani.
Especially wakicheza na timu ngumu na yeye more attacking..
Wakitaka attacking zaidi watarudi ktk mfumo wao wa DM mmoja..double attacking midifilders.

Sisi Manchester hata tukicheza na Watford au banley pia tunacheza na double DM huoni kama ni udhaifu wa timu?
Haijulikani simu tunasaka magoli mengi au tunasaka suluhu,,
Lazima tuanze na Fred ,,mac Tommy.utakuta timu ya kuishindilia magoli hata 5 tunaiishia kufunga moja tena kwa taabu sana.
 
Man united wana Rashford kushoto ambaye ana pace nzuri kuliko wachezaji wote wa united na probably wachache sana wanaomzidi EPL, kulia tayari wana Jadon Sancho na Amad huoni kuwa kama issue ni pace tayari imeshakuwa solved ?
Mkuu attacking front itakuwa vzr sn ukiwa na Sancho na rashford.

Lakini je nani atawalisha mipira?
Lazima timu iwe na muunganiko mzuri.

Man u tumekosa kiungo bora kwa muda mrefu sasa.
Tangu atoke Carrick .
Hatujapata mbadala.
Hebu nambie wakati wa feggy tulikuwa tunacheza na double DM?
timu lazima ipate DM mmoja world class,,ili midfielder mmoja acheze juu zaidi,,tuweze kuwa more attacking ..

Lakini tukiwa na Sancho bila DM world class ni bure tu.
 
Bado naiona PSG ikiwa timu ya kawaida tuu.
Ni kwl lakini si dhaifu kuliko man u ,,
PSG mwaka huu imekosa finisher up front wa uhakika.
Ndy kilicho wagharimu,,lakini wapo vzr kulinganisha na man u.

Ukweli usemwe.
 
Mkuu usipende kubishana sana,,hakuna timu inayocheza Mpira wa attacking ikaweka double DM,,
inajulikana siku zote kwamba ukiweka double DM ni Mpira wa kujilinda zaidi na kucheza kwa tahadhari.

Hyo PSG inayocheza kwa double DM unaweza kujuwa inacheza kwa kutafuta suluhu au ushindi?.
Kuna kipindi wanachezesha wote DM 3 kwa pamoja.
Herera anatokea kulia...

Yote ni kubalance mashambulizi ya timu pinzani.
Especially wakicheza na timu ngumu na yeye more attacking..
Wakitaka attacking zaidi watarudi ktk mfumo wao wa DM mmoja..double attacking midifilders.

Sisi Manchester hata tukicheza na Watford au banley pia tunacheza na double DM huoni kama ni udhaifu wa timu?
Haijulikani simu tunasaka magoli mengi au tunasaka suluhu,,
Lazima tuanze na Fred ,,mac Tommy.utakuta timu ya kuishindilia magoli hata 5 tunaiishia kufunga moja tena kwa taabu sana.
Hata kwenye ligi PSG wanatumia double pivot pia huwa wanajilinda pia ?
 
Mkuu attacking front itakuwa vzr sn ukiwa na Sancho na rashford.

Lakini je nani atawalisha mipira?
Lazima timu iwe na muunganiko mzuri.

Man u tumekosa kiungo bora kwa muda mrefu sasa.
Tangu atoke Carrick .
Hatujapata mbadala.
Hebu nambie wakati wa feggy tulikuwa tunacheza na double DM?
timu lazima ipate DM mmoja world class,,ili midfielder mmoja acheze juu zaidi,,tuweze kuwa more attacking ..

Lakini tukiwa na Sancho bila DM world class ni bure tu.
Wa kuwalisha mipira yupo Bruno Fernandes na Paul Pogba
 
Mkuu attacking front itakuwa vzr sn ukiwa na Sancho na rashford.

Lakini je nani atawalisha mipira?
Lazima timu iwe na muunganiko mzuri.

Man u tumekosa kiungo bora kwa muda mrefu sasa.
Tangu atoke Carrick .
Hatujapata mbadala.
Hebu nambie wakati wa feggy tulikuwa tunacheza na double DM?
timu lazima ipate DM mmoja world class,,ili midfielder mmoja acheze juu zaidi,,tuweze kuwa more attacking ..

Lakini tukiwa na Sancho bila DM world class ni bure tu.
Siyo kila kocha atatumia double pivot ila unachotakiwa kujua mfumo uwanjani mwalimu ndiyo anachagua atumie mfumo kulingana na jinsi anavyotaka timu yake icheze vipi.

Old managers hawakuwa watumiaji wa double pivot kwa sababu double 4 2 3 1 ni mfumo ambao umeibuka recently.
 
Mkuu attacking front itakuwa vzr sn ukiwa na Sancho na rashford.

Lakini je nani atawalisha mipira?
Lazima timu iwe na muunganiko mzuri.

Man u tumekosa kiungo bora kwa muda mrefu sasa.
Tangu atoke Carrick .
Hatujapata mbadala.
Hebu nambie wakati wa feggy tulikuwa tunacheza na double DM?
timu lazima ipate DM mmoja world class,,ili midfielder mmoja acheze juu zaidi,,tuweze kuwa



Feature

[data:image/svg+xml;charset=utf-8,%3Csvg xmlns='http%3A//www][https://staticg-sportskeeda-com]The victorious Les Bleus side of 1998 was one of the foremost proponents of the 4-2-3-1 formation

The evolution of the 4-2-3-1 formation

The 4-2-3-1 formation has become the formation of choice for most teams, and here's how it came to existence and then rose to prominence

[https://staticg-sportskeeda-com]

[https://staticg-sportskeeda-com]

Omene Osuya

ANALYST

FEATURE

Modified 10 Nov 2017

The 4-2-3-1 formation with its various models/types has become the go-to formation of choice among football coaches/teams.
Tactics in football have always been a fascinating aspect of the game with various innovations, styles, and systems going out of fashion coming back to the limelight in a revolving, always changing manner.

Few issues have generated as much discussions, arguments, and controversies as much as formations most especially the 4-2-3-1 system of play.
Fielding five midfielders was for a long time considered a negative tactic, but that is dependent entirely on the make-up of the five.
It is still heard of in football to speak of teams not playing “two-up” as being negative, but even a glance at a team-sheet should show what nonsense that it.
Take, for example, France at Euro 2000 with Youri Djorkaeff, Zinedine Zidane and Christoph Dugarry playing off Thierry Henry, or Portugal in the same tournament with Luis Figo, Rui Costa and Sergio Conceicao playing off Nuno Gomes.
Take Spain Euro 2008, with Andres Iniesta, Cesc Fabregás, Xavi and David Silva arrayed behind Fernando Torres.

Early days

In the early part of the 90s, coaches had begun to ponder how they could win the ball back quickly high up the pitch and attack faster with the added advantage of keeping the ball away from their defences.
4-4-2 was ineffective as coaches feared that pressing too high in a standard 4-4-2 formation would leave the defence exposed creating 4 on 4 situations almost everytime they lost the ball higher up the pitch.
Juanma Lillo, a Spanish coach and currently manager of Colombian side Atlético Nacional is credited with being the proponent of the 4-2-3-1 revolution. This is not surprising given that it was in Spain that the formation first developed as something distinct from 4-4-2.
[data:image/svg+xml;charset=utf-8,%3Csvg xmlns='http%3A//www][https://staticg-sportskeeda-com]Juanma Lillo was one of the first managers to successfully adopt the formation

He said while coaching Cultural Leonessa in the Spanish Segunda Division in 1991-92;

"My intention was to pressure and to try to steal the ball high up the pitch,".

"It was the most symmetrical way I could find of playing with four forwards. One of the great advantages is that having the forwards high allows you to play the midfield high and the defence high, so everybody benefits. But you have to have the right players. They have to be very, very mobile and they have to be able to play when they get the ball. You have to remember that they're pressuring to play, not playing to pressure".

The idea of having two central or “holding” midfielders whose presence allowed the four attackers upfront press the opposition defence and keep possession in dangerous areas made a lot of sense to the young Lillo (who at that point was the youngest manager to get a coaching badge in Spanish history).

Evolution and Implementation

This daring style which gave room for experimentation upfront became an almost instant hit in the Iberian nation and slowly began to evolve out of the 4-4-2 formation of yesteryears.
This style was copied by other title-winning tacticians like Javier Irureta (Deportivo La Coruna) and John Toshack (Real Madrid) in the early 2000s. This became the biggest validation of the new formation and led to its widespread adoption by other European leagues.
Once sides had started using their playmaker as a second striker – a trend that emerged at the 1986 World Cup – the coming of 4-2-3-1 was inevitable.
[data:image/svg+xml;charset=utf-8,%3Csvg xmlns='http%3A//www][https://staticg-sportskeeda-com]Real Madrid manager John Toshack adopted the formation with aplomb
Initially, a holding midfielder would be deployed to pick him up – hence the late-nineties boom in players capable of playing the defensive role in midfield – at which point the deep-lying forward would start drifting wide to find space.

If the holding player followed him, that created space in the middle, so an additional player would be dropped deeper as cover, with knock-on effects for the more attacking midfielders.

Or the evolution could come from the other direction: a side playing 4-4-2, with the wingers, pushed high and one of the centre-forwards dropping deep, is effectively playing a 4-2-3-1.

Unlike the 4-4-2, the 4-2-3-1 encourages the use of inverted wingers who could drop into midfield to increase the numbers or move upfront to make it a front two.

It was a formation that kept the best features of the 4-4-2 (the playmaker, wingers) while adding stability and highlighting the role of central midfielders or registas who could dictate play from the centre of the pitch.

This style has served a lot of teams to great effect recently from the all-conquering FC Barcelona team to current UEFA Champions League champions - Real Madrid, and extends to national teams like Spain, Italy, Germany, Chile and so on.
It may be a while before this tactic is challenged, but for now, 4-2-3-1 is here to stay.


C& P

Jaribu kupitia hilo andiko hapo juu ujue why 4 2 3 1 siyo kwajili ya kujilinda tu.
 
ENGLISH PREMIER LEAGUE WINNERS


HERE WE GO

2021 Manchester City
2020 Liverpool
2019 Manchester City
2018 Manchester City
2017 Chelsea FC
2016 Leicester City
2015 Chelsea FC
2014 Manchester City
2013 Manchester United
2012 Manchester City
2011 Manchester United
2010 Chelsea FC
2009 Manchester United
2008 Manchester United
2007 Manchester United
2006 Chelsea FC
2005 Chelsea FC
2004 Arsenal FC
2003 Manchester United
2002 Arsenal FC
2001 Manchester United
2000 Manchester United
1999 Manchester United
1998 Arsenal FC
1997 Manchester United
1996 Manchester United
1995 Blackburn Rovers
1994 Manchester United
1993 Manchester United
1992 Leeds United
1991 Arsenal FC
1990 Liverpool
1989 Arsenal FC
1988 Liverpool
1987 Everton
1986 Liverpool
1985 Everton
1984 Liverpool
1983 Liverpool
1982 Liverpool
1981 Aston Villa
1980 Liverpool
1979 Liverpool
1978 Nottingham Forest
1977 Liverpool
1976 Liverpool
1975 Derby County
1974 Leeds United
1973 Liverpool
1972 Derby County
1971 Arsenal
1970 Everton
1969 Leeds United
1968 Manchester City
1967 Manchester United
1966 Liverpool
1965 Manchester United
1964 Liverpool
1963 Everton
1962 Ipswich Town
1961 Tottenham Hotspur
1960 Burnley FC
1959 Wolverhampton
1958 Wolverhampton
1957 Manchester United
1956 Manchester United
1955 Chelsea FC
1954 Wolverhampton
1953 Arsenal
1952 Manchester United
1951 Tottenham Hotspur
1950 Portsmouth FC
1949 Portsmouth FC
1948 Arsenal
1947 Liverpool
1940-1946(Nothing)
1939 Everton
1938 Arsenal
1937 Manchester United
1936 Sunderland
1935 Arsenal
1934 Arsenal
1933 Arsenal
1932 Everton
1931 Arsenal
1930 Sheffield Wed
1929 Sheffield Wed
1928 Everton
1927 Newcastle United
1926 Huddersfield Town
1925 Huddersfield Town
1924 Huddersfield Town
1923 Liverpool
1922 Liverpool
1921 Burnley FC
1920 West Bromwich
1916-1919(Nothing)
1915 Everton FC
1914 Blackburn Rovers
1913 Sunderland
1912 Blackburn Rovers
1911 Manchester United
1910 Aston Villa
1909 Newcastle United
1908 Manchester United
1907 Newcastle United
1906 Liverpool
1905 Newcastle United
1904 Sheffield Wed
1903 Sheffield Wed
1902 Sunderland
1901 Liverpool
1900 Aston Villa
1899 Aston Villa
1898 Sheffield Wed
1897 Aston Villa
1896 Aston Villa
1895 Sunderland
1894 Aston Villa
1893 Sunderland
1892 Sunderland
1891 Everton
1890 Preston North
1889 Preston North

Premier League Championship by numbers


1 Manchester United - 20
2 Liverpool - 19
3 Arsenal - 13
4 Everton - 9
5 Aston Villa - 7
6 Manchester City - 7
7 Chelsea- 6
8 Sunderland - 5
9 Sheffield Wed-5
10 Blackburn Rovers-3
11 Wolverhampton - 3
12 Huddersfield - 3
13 Leeds United - 3
14 Newcastle United - 3
15 Preston North - 2
16 Derby County - 2
17 Tottenham Hotspur-2
18 Portsmouth - 2

For record purposes!!!
MOST LEAGUE CHAMPIONSHIPS
1. 20 - Man United
2. 19 - Liverpool
3. 13 - Arsenal
MOST FA CUPS
1. 14 - Arsenal
2. 12 - Man United
3. 8 - Tottenham Hot Spurs

ajasiyusufu@gmail.com+27651311435 (AJASI THE ONE) CALL/WHATSAPP

MOST CHAMPIONS LEAGUE
6 - Liverpool
3 - Man United
2 - Nottingham Forest
MOST COMMUNITY SHIELDS
1. 21 - Man United
2. 15 - Arsenal
3. 15 - Liverpool
MOST TROPHIES OVERALL
1. 63 - Man United
2. 62 - Liverpool
3. 43 - Arsenal
MOST RELEGATED CLUBS
1. 5 - Chelsea
2. 5 - Man City
3. 4 - Tottenham Hot Spurs
Now you know which clubs are big and more successful in Epl, no more noise......
30 PLAYERS WITH MOST PREMIER LEAGUE MEDAL
ajasiyusufu@gmail.com+27651311435

1. Ryan Giggs - Manchester United = 13
2. Paul Scholes - Manchester United = 11
3. Gary Neville - Manchester United = 8
4. Dennis Irwin - Manchester United = 7
5. Roy Keane - Manchester United = 6
6. David Beckham - Manchester United = 6
7. Nicky Butt - Manchester United = 6
8. Phil Neville - Manchester United = 6
9. Ole Gunnar Solskjaer - Manchester United = 6
10. Rio Ferdinand - Manchester United = 6
11. Peter Schmeichel - Manchester United = 5
12. Andrew Cole - Manchester United = 5
13. Wes Brown - Manchester United = 5
14. John O'Shea - Manchester United = 5
15. Wayne Rooney - Manchester United = 5
16. Patrick Evra - Manchester United = 5
17. Nemanja Vidic - Manchester United = 5
18. Darren Fletcher - Manchester United = 5
19. Michael Carrick - Manchester United = 5
20. John Terry - Chelsea = 5
21. Brian McClair - Manchester United = 4
22. Eric Cantona - Manchester United = 4
23. Gary Pallister - Manchester United = 4
24. Michael Silvestre - Manchester United = 4
25. Edwin Van Der Sar - Manchester United = 4
26. Park Ji-Sung - Manchester United = 4
27. Anderson - Manchester United = 4
28. Luis Nani - Manchester United = 4
29. Tomas Kuschak - Manchester United = 4
30. Didier Drogba - Chelsea = 4

Is this English Premier League or Manchester United League?

Wisdom will kill me
 
Kitakwimu Danny Ings hamfikii Martial
Tutazame uwezo binafsi wa mchezaji.
Danny ings amefunga magoli 12 ktk timu ambayo haina uwezo mkubwa na hakuzungukwa na wachezaji world class.

Danny ings amefunga magoli Mengi kuliko rashford goal 11 anayecheza kila mechi tena kazungukwa na watu.

Martial akiwa na goal 4 msimu mzima,,
Wewe unazungumzia statistics gani?
Ings anafunga magoli akiwa ktk mazingira magumu,
Anafunga magoli ya aina zote,

Kichwa,kupiga hata kujirusha.

Nambie ni lini martial aliwahi kujirusha kufunga?
Au lini alifunga kwa kichwa?..
 
Tutazame uwezo binafsi wa mchezaji.
Danny ings amefunga magoli 12 ktk timu ambayo haina uwezo mkubwa na hakuzungukwa na wachezaji world class.

Danny ings amefunga magoli Mengi kuliko rashford goal 11 anayecheza kila mechi tena kazungukwa na watu.

Martial akiwa na goal 4 msimu mzima,,
Wewe unazungumzia statistics gani?
Ings anafunga magoli akiwa ktk mazingira magumu,
Anafunga magoli ya aina zote,

Kichwa,kupiga hata kujirusha.

Nambie ni lini martial aliwahi kujirusha kufunga?
Au lini alifunga kwa kichwa?..
Martial msimu huu kacheza mechi ngapi ?
 
Back
Top Bottom