Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tottenham wamchukue Anthony Martial watupe Son na mpunga kidogo.
labda ofa hiyo umpelekee daniel levy wa TFF ndio atakubali.
son ni winga wa kushoto wa uhakika ninayemtamani pale old trafford ila sidhani kama ndoto hiyo iitatimia.
mkorea yule anakupa uhakika wa mchango wa magoli 20 (goal +assist) kwa kila msimu
 
Tatizo la OGS ni kuwa ana uwezo mdogo wa kufundisha
 
Intensity ya wachezaji wetu iko chini sana hasa tukiwa hatuna mpira,Rashford,BF na hata Pogba,huwa hawawezi kufanya pressing ya maana. Wapinzani wakianzisha mpira nyuma lazima kipa wetu au mabeki waokoa lakini imekuwa nadra kuzuia mpira walau nusu ya mpinzani. Atleast Cavan pamoja na umri wake mkubwa anajaribu kukaba kwa kumaanisha,wengine wanakaba kwa kujitoa lawama tu.
Simaanishi kutetea McFred ila wachezaji wetu wa mbele wanachangamka zaidi mpira ukifika miguuni ndio maana McFred wanakuwa exposed kirahisi. Huwa nacheka sana tweets za wachezaji wa man utd kila baada ya kupoteza game "its not the result we wanted but we look forward".
For how fvckn long then?
 
Ule mkao wa Ole pale kwenye benchi siku ya mechi unaendana na hiyo sentensi yako ya mwisho mkuu.
Hatukumuhitaji Sancho na Kane kuishinda Villareal ya unai emery.
Ole sio mtu sahihi kwa united kwa hatua tuliyofikia
 
Huwa nawaza kama ile heshima ya MBE aliyonayo Rashford haiathiri ubora wake uwanjani pamoja na maamuzi ya kocha dhidi yake.
Kwa waingereza kwao Rashford tayari ni ICON hivyo inahitaji moyo wa mourinho kumfanyia kitu asichokipenda na mashabiki wasikuzingue kwenye media. Na Ole anatembelea nyota ya ulejendari sio uwezo wake.
 
Asee maisha yanaenda kas Sana nikikumbuka comments zako za kukera kwenye timu za wengne had ikafikia ukaitwa KITABU na sio kitoabu et na wewe leo unalalamika

Kuwa tu mvumilivu Kama wenzio walivyocumilia wakat ukiwachafua wenzio
 
labda ofa hiyo umpelekee daniel levy wa TFF ndio atakubali.
son ni winga wa kushoto wa uhakika ninayemtamani pale old trafford ila sidhani kama ndoto hiyo iitatimia.
mkorea yule anakupa uhakika wa mchango wa magoli 20 (goal +assist) kwa kila msimu
Atari sana yule kiumbe.
 
Asee maisha yanaenda kas Sana nikikumbuka comments zako za kukera kwenye timu za wengne had ikafikia ukaitwa KITABU na sio kitoabu et na wewe leo unalalamika

Kuwa tu mvumilivu Kama wenzio walivyocumilia wakat ukiwachafua wenzio
Tofauti yetu mimi simtukani mtu, na siwezi fanya hivyo kwakuzingatia humu tuko watu wa lika tofauti.

Mimi natania kwa maneno matam hata ninae mtania hawezi kumaindi, na huwa namtania mtu wa aina yangu (mtu wa masihara) sio kila mtu.

" Hatukatai utani, tunakataa matusi"

Ndugu yangu ukisikia ukubwa dawa, sio mpaka utembee na kopo la Panadol.
 
labda ofa hiyo umpelekee daniel levy wa TFF ndio atakubali.
son ni winga wa kushoto wa uhakika ninayemtamani pale old trafford ila sidhani kama ndoto hiyo iitatimia.
mkorea yule anakupa uhakika wa mchango wa magoli 20 (goal +assist) kwa kila msimu
Hivi tatizo letu la winger wa uhakika wa kulia litamalizika msimu huu au ndiyo hivyo tuendelee kuwa na matumaini na Amad Diallo ?

Hivi bado tunategemea Nemanja Matic, Juan Mata, Bailly, Lee Grant waendelee kuwa sehemu ya ndoto zetu za ubingwa msimu ujao?

Nafikiri msimu huu ni bora tukafanya usajili mkubwa kuliko kipindi cha nyuma tulivyofanya hasa ukizingatia kikosi chetu kikimkosa Pogba au Bruno uwanjani kinakuwa kikosi dhaifu kuliko hata kikosi cha Burnley au Shelfield United ukichanganya na mapungufu ya mwalimu tunarudi level ya timu ya championship kucheza na timu za epl.

Bila usajili framework yetu msimu ujao haitatufikisha hata top labda tuombee Bruno aendelee kufunga magoli kutuokoa.

Binafsi naona tunahitaji wachezaji watano wa uhakika ili tuweze walau kupambania ubingwa wakati huo huo tuondoe wachezaji watano mpaka sita kuacha nafasi kwa tunaowahitaji.
 
Yes hili linachangia sana midfield kuwa exposed mara kwa mara kwa sababu front three yetu huwa haiwezi kutunza mpira walau dakika mbili au three successful passes hatuwezi labda kama tunapiga pass kwenda kwa De Gea ambaye nae at anytime anapasia adui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…