Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kabisa kuanzia leo leo namuheshimu

Alafu ole anamtoa Baily ili iweje ona sasa goli la nne, kilindelof kinakimbia kwingine kutoa space.

Shenzi sana.
Tunahitaji CB viwango vya dunia..sema nilipoona Bailly kaongezewa kandarasi kubwa huku akiwa ni spana mkononi basi nikajua hatuna mpango wa kusajili beki.
 
Binafsi sikutegemea tushinde hii mechi kwa fatigue tuliyonayo kwa sasa
Najifunza kuhusu mambo anuai. Nimefanikiwa kuandaa nadharia fulani kuhusu mashindano ya mpira wa miguu. Kwa kutumia nadharia hiyo, ndiyo niliposti matarajio yale, na ambayo yalikuja kutimia. Ukiangalia post-history yangu utaona mechi nyingine mbili tatu nilizozielezea kama hii. Na zote zilitukia kama zilivyotarajiwa. Hivyo inaonesha kwamba nadharia husika inaendana na uhalisia kwa kiwango kikubwa.
 
walisema Ole kachezesha kikosi cha watoto dhidi ya Leicester ili aiuzie Liverpool kwenda champions league
Kapata adabu leo kafanya fitna zote Liverpool asipate maana kama hasidi kawa litaka kuisaidia Leicester wakati huohuo aharibu kwa Liver na yeye apate lakini kafundishwa adabu. kuwa nafasi ya pili tu alishajiona ana bonge la team visababu vyake kucheza mechi baada ya masaa 48 ngumu mbona boxing day huwa wanacheza game 3 muda wa wiki tu ila adabu kapata.
 
Hapana timu yetu imecheza mechi 4 ndani ya siku 8 tu lazima tungecheza hovyo timu ina fatigue sana.

Tusiwalaumu wachezaji wetu kwa vitu vilivyoko nje ya uwezo wao.
Hapana hiyo sio sababu zile mechi za mwisho wa mwaka za boxing day, mwaka mpya wanacheza mechi kila baada ya siku au siku mbili na team zinacheza juzi kachezesha team 8 leo angeshinda angesema sababu liwapumzisha ila sasa hana sababu kazidiwa tu.
 
Najifunza kuhusu mambo anuai. Nimefanikiwa kuandaa nadharia fulani kuhusu mashindano ya mpira wa miguu. Kwa kutumia nadharia hiyo, ndiyo niliposti matarajio yale, na ambayo yalikuja kutimia. Ukiangalia post-history yangu utaona mechi nyingine mbili tatu nilizozielezea kama hii. Na zote zilitukia kama zilivyotarajiwa. Hivyo inaonesha kwamba nadharia husika inaendana na uhalisia kwa kiwango kikubwa.
Ila kaka wewe wa kitambo!!!! 2006!!?? Duh inapaswa tukuheshimu humu ndani mkuu.
 
Binafsi sikutegemea tushinde hii mechi kwa fatigue tuliyonayo kwa sasa

Kipaumbele muhimu sana kila siku noangea humu manchester city tayar alishakuwa bingwa hata kama tungeshinda hizi mech mbili wao walikuwa wanataka point 3 ili wawe mabingwa unawezaje kukamia mech mbili ngumu ndani ya siku 3? Ukipata majeruhi unachezaje final ya EUROPA tukumbukr maguire tayar mgonjwa

Angalia kikosi cha city vs chelsea ingekuwa pep hana uhakika wa ubingwa angepanga timu ngumu dhidi ya chelsea kufungwa jambo lingine

Toka mech ya leicester city mm naona ole yupo sawa kwanza tayar ana uhakika wa kucheza uefa pili yupo final ya europa sasa tunataka nn wakat city ni bingwa binafsi mech zote zilizosalia nilijua ni bonanza tu
Mech ya jana nililala sikuangalia wala sikuwa na mzuka nayo kwa sababu kila kitu kimeisha
 
Vyovyote itakavyokuwa Utd hawezi iacha Liverfool ipumue, yn Man utd kajifungisha mechi iliyopita kwasababu ya mechi ya leo alafu amuache hahahahaa leo ni vita mkuu, kadi nyekundu ipo
unavyoona atashinda ngapi sasa
 
Back
Top Bottom