kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
kuna kipindi alifahanishwa na Paulo sikoziMcTominay hana quality ya kucheza dimba letu..anatembea tu uwanjani
kuna kipindi alifahanishwa na Paulo sikoziMcTominay hana quality ya kucheza dimba letu..anatembea tu uwanjani
magwaya je?Tunahitaji world class CB..huyu lindelof ni utopolo
Dogo kilaza sana na sidhani kama atakuja kubadilika hana tofauti na rashfordkuna kipindi alifahanishwa na Paulo sikozi
Dogo kilaza sana na sidhani kama atakuja kubadilika hana tofauti na rashford



Hebu ona shaw bila madongo ya Mou asingebadilika kamweKocha wa viungo hafanyi kazi yake kwa usahihi kila mech viungo wanapoteza sana mipira


McTominay hana quality ya kucheza dimba letu..anatembea tu uwanjani




Bado ana stressYule jamaa wa screenshot hajatuma tu bado![]()
Hongera kwa prediction nzuri
Kipaumbele muhimu sana kila siku noangea humu manchester city tayar alishakuwa bingwa hata kama tungeshinda hizi mech mbili wao walikuwa wanataka point 3 ili wawe mabingwa unawezaje kukamia mech mbili ngumu ndani ya siku 3? Ukipata majeruhi unachezaje final ya EUROPA tukumbukr maguire tayar mgonjwa
Angalia kikosi cha city vs chelsea ingekuwa pep hana uhakika wa ubingwa angepanga timu ngumu dhidi ya chelsea kufungwa jambo lingine
Toka mech ya leicester city mm naona ole yupo sawa kwanza tayar ana uhakika wa kucheza uefa pili yupo final ya europa sasa tunataka nn wakat city ni bingwa binafsi mech zote zilizosalia nilijua ni bonanza tu
Mech ya jana nililala sikuangalia wala sikuwa na mzuka nayo kwa sababu kila kitu kimeisha
Jana mtu aliyeflop zaidi kuliko wote ni Fred probably ni Fatigue kacheza mfululizo toka August 2019 non stop unategemea kabisa kutokuwa sawa.Kocha wa viungo hafanyi kazi yake kwa usahihi kila mech viungo wanapoteza sana mipira
Kitanzi cha mwisho ni pale alipomtoa Baily akamwingiza Matic tukawa Vulnerable zaidi nyuma kwa kina Salah na Mane kwa sababu hakuna tena mwenye speed uwanjani.Kocha wa viungo hafanyi kazi yake kwa usahihi kila mech viungo wanapoteza sana mipira