Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,731
Magoli ya kizembe sana ila victor ni mzembe zaidi yani mpaka salah anazidi nguvu.
Hamna kitu huyu msweden..Magoli ya kizembe sana ila victor ni mzembe zaidi yani mpaka salah anazidi nguvu.
Pogba nae kuteleza teleza shida iko wapi?
Tunahitaji world class CB..huyu lindelof ni utopolo
Kiwango kimeshuka sanaPogba nae kuteleza teleza shida iko wapi?
Kwenye mechi hii natarajia yafuatayo yatatokea:
1. Liverpool ataibuka mshindi. 🤑
2. Patakuwa na mojawapo au zaidi: penati/goli lililokataliwa/kadi nyekundu. 🤬
Kwenye mechi hii natarajia yafuatayo yatatokea:
1. Liverpool ataibuka mshindi.
2. Patakuwa na mojawapo au zaidi: penati/goli lililokataliwa/kadi nyekundu.