Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,804
Ndiyo nafasi pekee wanayoweza kuitumia kumtoa Glazer na genge lake.Mama.e hawa wahuni kweli wameamua
Ndiyo nafasi pekee wanayoweza kuitumia kumtoa Glazer na genge lake.
Mkuu hesgoal sio mbaya sanaWakuu wekeni link basi tuangalie wote
WamesawazishaLiver champions league wataisikia kwenye bomba
Uwanja umeinama mdau
Huyu kama mwanamke akiwa kwenye siku zake balaaMcTominay hana quality ya kucheza dimba letu..anatembea tu uwanjani