Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ila mchezo wanaotaka kuufanya Man utd kwa Liver km utatiki basi nitaamini hata wazungu nao wana roho mby sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hehehehee huenda wewe ni mgeni humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sahabiki wa chelsea huyo ,anakuja kunipanda kichwan huku ili iweje sasa ..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sahabiki wa chelsea huyo ,anakuja kunipanda kichwan huku ili iweje sasa ..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uyo anaitwa Papaa Gx a.k.a The boss1[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwenye mechi hii natarajia yafuatayo yatatokea:

1. Liverpool ataibuka mshindi.

2. Patakuwa na mojawapo au zaidi: penati/goli lililokataliwa/kadi nyekundu.
 
Kwenye mechi hii natarajia yafuatayo yatatokea:

1. Liverpool ataibuka mshindi.

2. Patakuwa na mojawapo au zaidi: penati/goli lililokataliwa/kadi nyekundu.
Vyovyote itakavyokuwa Utd hawezi iacha Liverfool ipumue, yn Man utd kajifungisha mechi iliyopita kwasababu ya mechi ya leo alafu amuache hahahahaa leo ni vita mkuu, kadi nyekundu ipo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Washabiki wa Man United kwa mara nyingine tena wameandamana nje ya uwanja Old Trafford kuelekea mechi yao dhidi ya Liverpool kwa ajili ya kushinikiza familia ya Glazer kuiachia timu yao."
186031752_2314846871984625_9119614221922932674_n.jpg
 
Vyovyote itakavyokuwa Utd hawezi iacha Liverfool ipumue, yn Man utd kajifungisha mechi iliyopita kwasababu ya mechi ya leo alafu amuache hahahahaa leo ni vita mkuu, kadi nyekundu ipo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tusubiri tuone.
 
TETESI

Manchester United wanavutiwa na mlinzi wa Atalanta Muargentina Cristian Romero, 23, ambaye ameungana na mlinzi wa Lille aliye na umri wa miaka 21- Mholanzi Sven Botman na mchezaji wa Sevilla Jules Kounde, 22 , katika orodha ya wachezaji wanaosakwa na klabu hiyo ya Ligi ya Primia.
 
Tafuta uzi wa villarial ndio level zako wewe jamaa ..

Unafuatilia wanaume tuaoenda kusimamisha dunia may 2021 ...

Mtu wa kuongea na mimi ni chelsea tu ..
Nina uhakika hujawahi kuiona united ikibeba ubingwa wa EPL mpira umeujua 2014[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom