Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Watoto wapi?
Kipa mendy anaenda ubabu

Beki na Madrid, silva babu, Rudiger anakaribia ubabu, Azpi nae Babu, Christie Sen na Chilwell ndio wana 25 na 24.

Ukija midfield kante babu, jirginho anakaribia ubabu.

Wachezaji pekee Ambao wana qualify kuwa ni watoto ni pulisic na mount tu.

Kikosi cha wachezaji 11 wawili wakiwa watoto ni Kikosi cha watoto?
Watoto niliomaanisha ni hao kina Pulisic Mount na Havertz.
 
Nadhani mnahitaji kuitazama hii filamu.

SIR ALEXANDER FERGUSON: NEVER GIVE IN (2021)
IMG_20210507_120415_420.jpg
 
Hii timu imefika final lakin hayana furaha kabisa ..

Kwa sababu Europa ni sawa na kombe la wanawake ,halina mvuto kabisa ..
 
Chelsea watakuwa mabingwa wa UEFA
Hii Chelsea tutawaheshimu tu kwa vile ni final ,ila tukija uwezo wa kila mchezaji ,city tupo juu ,kiufupi Chelsea wanajua mziki wetu ,moyoni wanasema "ila man city wakianza msako sio poa ,wanatisha "..

ila wakija kwenye nyuzi zao ,utakuta wanavimba mapembe ,sishangai hata hivo ...

ila sioni Chelsea akitoboa final ,tatizo wanatumia historia ya 2012 , wakat saizi tupo 2021....
 
Kante atawaweka mfukoni wale kina Kdb na Bernado na hapo ndo utaacha kidomo chako.

Chelsea ni timu ngumu,huyo Pep wako atakuwa anakuna sana kichwa kwa sasa.
 
Unaandika hapa ukiwa unajua kabisa ,man city sio timu ya kuiogopa Chelsea ..

Anyway Kesho utapata picha ya final ,
 
Hii Chelsea tutawaheshimu tu kwa vile ni final ,ila tukija uwezo wa kila mchezaji ,city tupo juu ,kiufupi Chelsea wanajua mziki wetu ,moyoni wanasema "ila man city wakianza msako sio poa ,wanatisha "..

ila wakija kwenye nyuzi zao ,utakuta wanavimba mapembe ,sishangai hata hivo ...

ila sioni Chelsea akitoboa final ,tatizo wanatumia historia ya 2012 , wakat saizi tupo 2021....
Utapiga msako kuanzia dakika ya kwanza mpaka tisini na hutapata bao hata moja....
 
Kama una vitu huviamini ongezea na arsenal tulikubaliana mwaka huu fainali zote zichezwe na timu za uingereza tizama walichofanya.
 
Huyu mbwa huyu

Nilipenda city ichukue ndoo lkn kwa kelele za huyu naomba iwe vice versa mana tutakuwa hatukai humu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukiangalia hata wachezaji hawana vibe kabisa ,hii timu sio ya kuenda kushindia kombe moja na timu kama arsenal ,Europa ni kombe la kina arsenal ,spurs ,sulzburg ,Genk ..

Nyie ilitakiwa tuongee lugha moja huko CL ..

Sasa manongea lugha moja na timu kama Villarial

Hizo ni dharau ...

Naamini hata ole hana furaha ...
 
Watu bana ukilikosa je si utabaki na hivyo vya mbuzi au
 
Back
Top Bottom