ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
Kwanza game ya kesho huenda ikawa na rotation nyingi baadhi ya key player huenda wakapumzishwaNdio italeta picha ya final ..
Achen kujipa moyo ,kesho timu itakayofungwa ,basi wachezaji watagain confidence hadi final ...
Hata hy 2021 ukigeuza geuza unapata 2012, kazi zimebaki mbili, kuigeuza geuza nyie nyumbu wadogo kesho EPL na UefaHii Chelsea tutawaheshimu tu kwa vile ni final ,ila tukija uwezo wa kila mchezaji ,city tupo juu ,kiufupi Chelsea wanajua mziki wetu ,moyoni wanasema "ila man city wakianza msako sio poa ,wanatisha "..
ila wakija kwenye nyuzi zao ,utakuta wanavimba mapembe ,sishangai hata hivo ...
ila sioni Chelsea akitoboa final ,tatizo wanatumia historia ya 2012 , wakat saizi tupo 2021....
Good striker no 9 ni lazima awe mzuri kwenye header na kupiga miguu yote.ile header ya Cavani inaonesha umuhimu wa namba 9 mwenye uzoefu ila aliepiga ile cross pia ni mtu na nusu.
Nimeona hadi Maguire ameisifuile header ya Cavani inaonesha umuhimu wa namba 9 mwenye uzoefu ila aliepiga ile cross pia ni mtu na nusu.
Utawajua uzoefu wao na hizi finali za UEFA. Hizo counterattack watawageuzia kibao.Hii Chelsea tutawaheshimu tu kwa vile ni final ,ila tukija uwezo wa kila mchezaji ,city tupo juu ,kiufupi Chelsea wanajua mziki wetu ,moyoni wanasema "ila man city wakianza msako sio poa ,wanatisha "..
ila wakija kwenye nyuzi zao ,utakuta wanavimba mapembe ,sishangai hata hivo ...
ila sioni Chelsea akitoboa final ,tatizo wanatumia historia ya 2012 , wakat saizi tupo 2021....
Kuna mzoefu wa final kama pep ? ...Utawajua uzoefu wao na hizi finali za UEFA. Hizo counterattack watawageuzia kibao.
Martial na Rashford ni vipumbavu sana hivi vitoto..na Socha anaviamini kupita kiasi..Dah Nimeamini Bruno anaokena mbaya siku nyingine kumbe tatizo ni watoto wajinga wanaharibu key passes hivyo kumfanya aone bora kufumua shuti tu hata liende off target.
Cavani akiwepo anamuaminia sana refer AS Roma first leg na Second leg. First leg goli la kwanza Rashford angefinya alafu apige blocked shot.
Cavani katoa assist matata kwa Bruno
Chizi ilo halina tofauti na silvester kucheza one two na washambuliajiNimeona hadi Maguire ameisifu
Mwambie mapema uyo mbuziChelsea watakuwa mabingwa wa UEFA



HahahahahahahahaKama una vitu huviamini ongezea na arsenal tulikubaliana mwaka huu fainali zote zichezwe na timu za uingereza tizama walichofanya.






Hizo fainal za makombe ya mbuziKuna mzoefu wa final kama pep ? ...
Mpaka sasa kashapoteza final moja tu ,na penyewe ilikuwa na mpaki bas morihno ,hao wengine ni kusambaza kichapo tu





Tuchel ana UEFA ngapi?Hizo fainal za makombe ya mbuzi![]()
I know hahaChizi ilo halina tofauti na silvester kucheza one two na washambuliaji
Yes second leg nimeona pia ingawa Bruno hakuweza ku hit target ila ilkua ni pass nzuri kutoka kwa Cavan.Dah Nimeamini Bruno anaokena mbaya siku nyingine kumbe tatizo ni watoto wajinga wanaharibu key passes hivyo kumfanya aone bora kufumua shuti tu hata liende off target.
Cavani akiwepo anamuaminia sana refer AS Roma first leg na Second leg. First leg goli la kwanza Rashford angefinya alafu apige blocked shot.
Cavani katoa assist matata kwa Bruno
Utapiga msako kuanzia dakika ya kwanza mpaka tisini na hutapata bao hata moja....