Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Yaah..leo madrid alikuwa haeleweki hata anafanya nini uwanjani..Spain football monopoly is over
Yaah..leo madrid alikuwa haeleweki hata anafanya nini uwanjani..Spain football monopoly is over
Kivyovyote vile, makombe ya UEFA na EUROPA yatabaki England.Sema Arsenal vibogoyo kweli, ilitakiwa iwe UCL waingereza na Europa waingereza.
Sent using Jamii Forums mobile app
NimekomaWivu tuu
Watu wanaidharau sana chelsea ila mourinho ameacha mizizi ya aina yake pale na haitakuja kung'olewa kamwe........Mkuu unaujua mpira. Hongera
Corona noma watashuka mpaka 50Borussia Dortmund have lowered their asking price for Jadon Sancho to around £78 million ($108m).
bado nyingiBorussia Dortmund have lowered their asking price for Jadon Sancho to around £78 million ($108m).
Borussia Dortmund have lowered their asking price for Jadon Sancho to around £78 million ($108m).
Wachezaji wakuweza kumpa makombe Mourinho ni wale waliozaliwa early 1990s kurudi chini.chief, hapo kwenye udhaifu wa vikosi umeegemea kwenye eneo la matumizi ya kifedha au viwango vya wachezaji husika aliowafundisha?
hii ndio list ya wachezaji wa Inter milan waliocheza takribani mechi 20 za msimu wa 2009/2010.
wenye wino mwekundu wamesajiliwa na jose mourinho
julio cesar, ivan cordoba, zanetti, matterazzi, walter samuel, lucio, maicon, chivu, stancovic, sneijder, muntari, stankovic, cambiasso, vieira patrick, etoo, millito, pandev, ballotelli na thiago motta.
kumradhi kwa mfano nitakao utoa:
laiti kama hao wachezaji wangelikuwa wanajishughulisha na sanaa ya maigizo ya pornography huku jinsia zao zingelikuwa na za upande wa kike bila ya shaka wangeliitwa Milfs, kwa maana ya kwamba ni jamii ya watu wenye uzoefu mkubwa sana na kazi wazifanyazo kwa muda mrefu kwenye hiyo tasnia bila ya kusahau wastani wa umri wao unaakisi sifa hiyo (wengi wao walivuka miaka 27).
kwa mtazamo wangu Jose hakukutana na kundi la wachezaji dhaifu bali alikutana na kundi la wachezaji waelewa, waliokubali kwa pamoja kumuelewa jose kwa kile anachofundisha na anachokisimamia, pia naye jose alikubali kuzielewa hisia na firka za wachezaji wake anaowasimamia na bahati njema zaidi wengi wao waliendana kwa urahisi na mfumo wa ufundishaji wa jose (kama angelikuwa guardiola na system yake naamini angelishindwa kwa kundi hilo).
hao jamaa tayari walishakuwa na sura, fikra na mioyo ya mapambano takribani wote ila walikosa mtu sahihi wa kulainisha mashine za viungo vyao na ndio maana wakaonekana dhaifu, alipoondoka jose ule ugonjwa ukawarudia tena.
Pale real madrid alishindwa kuchukua champions league ni kwa sababu ya kudra tu za maulana (hususani ule msimu aliovunja rekodi kibao pale la liga yeye na timu yake) na si kwa sababu ya ufinyu wa kikosi au ulegevu wa wachezaji wake.
Fixture yetu imekaa vibaya sana aiseeLiverpool tunawapiga tarehe 13 Mei.
Hata hiyo hawapati vile vile labda 40.Borussia Dortmund have lowered their asking price for Jadon Sancho to around £78 million ($108m).
Hata mimi huwa naamini chelsea ni timu ngumu zaidi kucheza nao kuliko timu yoyote epl kwa muda wote hata kama hawako vizuri.Watu wanaidharau sana chelsea ila mourinho ameacha mizizi ya aina yake pale na haitakuja kung'olewa kamwe........
Amad Diallo na Fecundo Pellistri hawana maana tena ?Hii inatosha kbs ukizingatia uhitaji tulionao wa RW pamoja na into wa sancho bado mdogo
Watoto wapi?Chelsea watoto wao wanajituma sana tofauti na wa kwetu..shida yao ni kuwa wanapoteza chansi nyingi sana za kufunga.
Ni kweli, haina namna, halafu ni dhidi ya timu ngumu tu.Fixture yetu imekaa vibaya sana aisee
Watoto wapi?
Kipa mendy anaenda ubabu
Beki na Madrid, silva babu, Rudiger anakaribia ubabu, Azpi nae Babu, Christie Sen na Chilwell ndio wana 25 na 24.
Ukija midfield kante babu, jirginho anakaribia ubabu.
Wachezaji pekee Ambao wana qualify kuwa ni watoto ni pulisic na mount tu.
Kikosi cha wachezaji 11 wawili wakiwa watoto ni Kikosi cha watoto?