The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
SawaDAGAA kama DAGAA kwake kutunza clean sheet ni sawa na kutafuta bikra kwa malaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaDAGAA kama DAGAA kwake kutunza clean sheet ni sawa na kutafuta bikra kwa malaya.
Mkuu unateseka ukiwa wapiWatoto wapi?
Kipa mendy anaenda ubabu
Beki na Madrid, silva babu, Rudiger anakaribia ubabu, Azpi nae Babu, Christie Sen na Chilwell ndio wana 25 na 24.
Ukija midfield kante babu, jirginho anakaribia ubabu.
Wachezaji pekee Ambao wana qualify kuwa ni watoto ni pulisic na mount tu.
Kikosi cha wachezaji 11 wawili wakiwa watoto ni Kikosi cha watoto?



