Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

sijawahi kumuelewa brandon williams kiuchezaji
bwana mdogo ajiangalie sana, kuna moto wa hatari unamnyemelea.
Anaitwa alvaro fernandez. tumemsajili real madrid msimu huu kiuchezaji
1620472943302.png
 
Wakuu, kwa mlioangalia mechi ya juzi, naomba kujuzwa kuhusu van de Beek.
Nimeona kwenye page ya Facebook ya Man Utd, watu wanamemponda sana.
Je ana potential yoyote?
Mfumo wetu haumfai?
Au tumepigwa za uso
 
Nyumbu kama Nyumbu toka lini mkawa wazuri kwenye usajili
Wakuu, kwa mlioangalia mechi ya juzi, naomba kujuzwa kuhusu van de Beek.
Nimeona kwenye page ya Facebook ya Man Utd, watu wanamemponda sana.
Je ana potential yoyote?
Mfumo wetu haumfai?
Au tumepigwa za uso
 
Oya nyie nyumbu, Chelsea tunaomba mechi moja ya ligi kama nyongeza ila point zote 3 zitakuwa zenu hata kama Chelsea tukishinda.
 
Kuna wachezaji huwa natamani sana watue OT.

Jack Grealish,
hapa hata bwana mkubwa keane anaunga mkono.
Sema ndio hivyo nafasi anayocheza kwa ufasaha kuna mtoto wa nyumbani(Rashford) na Pogba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom