Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Angalia kwa kiarabu tu chief,mi nishazoea kwani matangazo ya English hayako stable wanazima muda wowote.
Asante sana kiongozi wala hamna neno kabisaa na ni sawa kabisaaa....wacha niangalie tu kwa kiarabu...
 
DAGAA kama DAGAA kwake kutunza clean sheet ni sawa na kutafuta bikra kwa malaya.
 
Back
Top Bottom