OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Nani amekuambia bingwa no psg wewe? Bingwa keshajulikana kitambo tangu mwanzo mwa michuano wewe.Hapo mwisho
Bingwa psg msimu huu..
#CFC



Nani amekuambia bingwa no psg wewe? Bingwa keshajulikana kitambo tangu mwanzo mwa michuano wewe.Hapo mwisho
Bingwa psg msimu huu..



anachokiwaza ed woodward kinatofautiana kwa kiasi kikubwa sana na kile tunachokifikiria wengi wetu. Inaonekana dhahiri kwenye ubongo wa ed woodward sentensi kumuachia mchezaji akiwa huru haichakachuliwi hata kwa sekunde moja.Ni kweli ni heri kumuuza Eric Bailly hata kwa bei ya hasara kuliko kuishi nae kwa matumaini mfu
ina maana dunia nzimaa nambari saba pekee mwenye ubora aliyebakia ni huyo jadon sancho?★Jadon Sancho contemplated a move away from Borussia Dortmund last summer and could leave this summer if the right offer comes in. Sources suggest Dortmund would sell him for £86m [times]★
#GGMU
manutd |
Klinsmann?nje ya mada(thread):
- joachim low alitangaza kuachia ngazi pale germany.
- klopp haitaki kazi ya ujerumani
- marco rose amekwenda borussia dortmund
- tuchel yupo chelsea
- hans flick ameshashinda kila kitu pale bayern
wajerumani wanatisha
- je! hans flick atakwenda kufundisha timu ya taifa ya ujerumani?
- je klopp atakwenda kufundisha bayern munich?
- kama klopp atakataa je bayern munich watakwenda kwa nagelsmann?
====================
Julian Nagelsmann on Lothar Matthäus claiming that he had talks with Bayern: "There were and are no talks with FC Bayern. I have no idea where Lothar got this information from. This of course also applies to my agents, there were no talks either"
=========
[Hansi Flick] to Sky Germany: "I have a contract with FC Bayern, but I always think about what's going to happen or how things will continue, whether everything is going well here and so on. My family is behind me, no matter what my decision is, whether it is at the DFB."
nyakati zake zimekwisha, kuna damu changa nyingi sana zimeibuka pale ujerumaniKlinsmann?
Waafrika bana hawajawahi kuwa sawa daily ni vichaanimeona taarifa zisizo rasmi zinadai ya kwamba eric bailly amekataa kuongeza mkataba ndani ya klabu na hoja yake kubwa ni kukoseshwa muda wa kutosha wa kucheza na bwana Ole, yawezekana bwana eric pamoja na wafuasi wake wanajiona wapo sahihi kwa sababu ya kujiaminisha kwao kuwa na uwezo wa kucheza kikosi cha kwanza muda wowote dhidi ya mabeki wetu viongozi.
lakini tukiangalia upande wa pili wa shilingi bwana eric anajidanganya, eric anaangushwa zaidi na takwimu za kiafya ya mwili wake kuliko takwimu za kiuwezo wa kucheza soka, binafsi mimi ni mmoja wa mashabiki wanaovutiwa zaidi na uwepo wa eric bailly uwanjani kuliko harry na victor kwa pamoja lakini sikubaliani na hii hoja ya eric ya kwamba ananyimwa muda wa kucheza kwa makusudi.
kwa sasa mwili wa eric bailly umeshindwa kukubali kucheza mechi tatu mfululizo, hivyo basi anachokifanya Ole ni kumtumia eric kwa mujibu wa mwili wake, Ole hajawahi kuwa na wasiwasi na kiwango cha eric bailly
Yupo wapi huyo babuKlinsmann?
Mkuu fixture wise ukiangalia kwa ukaribu City anahatari ya kudondosha point si chini ya 7.....naomba nipate muda nielezee kiundani hii nikihusianisha chelsea ambao wanahitaji top four (watacheza na city), brighton alifunfwa moja game ya kwanza ila city walikuwa crueless na wanahangaika sana wakicheza na brighton then everton nao walifunga 2 bila game ya kwanza ila walikuwa vizuri kwemye key areas tu.....naamini city atadondosha point na Chelsea, brighton na everton (palace na Newcastle wanaweza kutushangaza pia kwa draw)Kuna kipi umekiona mkuu ?
Roy Keane★Who's the first player that comes to mind when you see the 2004-06 home shirt?
me:- Van Nistelrooy★
#GGMU
manutd | View attachment 1751348
Jose kwa sasa hawezi kupata tena wachezaji wanaoweza kufia uwanjani kwajili yake labda aanze nao kwenye academy ya under 12.Nuno is being linked with the Tottenham job.
ukisikia kuondoa tatizo na kuleta tatizo zaidi ndio huku, kama tottenham wamechoshwa na jose mourinho eneo pekee watakalopata kocha anayeendana na soka la kileo ni bundesliga.
juzi nilibahatika kusikiliza station ya wasafi kwenye kipindi chao cha michezo cha asubuhi, nilishangazwa sana na mawazo ya george ambangile alipokuwa akishikilia msimamo wake wa kwamba jose mourinho anashindwa kufanya vizuri kama ilivyokuwa nyakati za miaka ya mwanzoni kutokana na ufinyu wa bajeti pale tottenham hotspurs.
hii ilipaswa kuwa ni hoja ya mwisho kuitaja pindi pale unapotaja sababu za kushindwa kufanya vizuri kwa jose mourinho, falsafa yake ya ufundishaji na kiuongozi inatulazimisha tuamini ya kwamba jose amepitwa na wakati na si sababu ya fedha