Nakubaliana wewe Jombaa kwa 100%.hatuna muda wa ku baby sit professional player mwenye hiyo shida. tumemlea siku nyingi abadilike lakin wapi. its time akatafute changamoto nyingine
Nakubaliana wewe Jombaa kwa 100%.hatuna muda wa ku baby sit professional player mwenye hiyo shida. tumemlea siku nyingi abadilike lakin wapi. its time akatafute changamoto nyingine
Kabisa. Ukiona mchezaji amevuka miaka 22 ila bado anacheza kama kinda huyo atacheza hivyo hivyo mpaka miaka 30 akiwa mzee.Ni kweli Anthony Martial ni wakati sasa wa ama akubali kukaa benchi au atafute timu inayoweza kuruhusu striker kutaka acheze peke yake.
Ndondo cup labdaTunaenda chukua ubingwa msimu huu.





Tukichukua bado mtasema ni kombe la mbuzi, waja huwa hamuishiwi kejeli.Ndondo cup labda
Man u anachukua EPL msimu huu save hii comment mkuu....siku city anamaliza game ya mwisho na everton utakuja haoa.Ndondo cup labda
Kuna kipi umekiona mkuu ?Tunaenda chukua ubingwa msimu huu.
Na iwe hivyoMan u anachukua EPL msimu huu save hii comment mkuu....siku city anamaliza game ya mwisho na everton utakuja haoa.
Ila ilibidi SAF achue hata UEFA mbili zaidi katika kipindi chake.★ This Manchester United run will be hard to beat in the future!★
#GGMU
manutd | View attachment 1751340
Hawa jamaa pamoja na kwamba wametolewa ila timu ya future wanayo aiseee tena ya kibabe sana....bayern nomaHawa jamaa hilo ndiyo Sibstitution yao na Neymar hayupo hapo na wengineo.
Hii ndiyo maana halisi ya kikosi kipanaView attachment 1751320View attachment 1751322
Watajenga future mpaka lini ?Hawa jamaa pamoja na kwamba wametolewa ila timu ya future wanayo aiseee tena ya kibabe sana....bayern noma
Hapo mwishoWatajenga future mpaka lini ?
Hata msimu uliopita walibahatisha tu kufika final


Labda msimu huu ngoja tuone watakapofikaHapo mwisho
Bingwa psg msimu huu..
Alan Smith★Who's the first player that comes to mind when you see the 2004-06 home shirt?
me:- Van Nistelrooy★
#GGMU
manutd | View attachment 1751348
Mkuu UCL co mchezo mchezo unaweza ukachukua msimu mmoja ukakaa miaka 50 ndio unachukua tena.Ila ilibidi SAF achue hata UEFA mbili zaidi katika kipindi chake.
Au mzee alikuwa anawaza sana EPL?
Sent using Jamii Forums mobile app