D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Manchester United will play AS Roma in the Europa League Semi-Finals
Hapa kunajambo linaenda kutokea ambalo wapinzani hatutolifurahia kikweliSasa ukilaza unatoka wapi kwanini usijibu hoja kwa hoja ,
Wamepita AC Roma ,Man U, Arsenal , na Villarreal .
Hapo nani Yuko mzuri zaidi ya Man U na Arsenal ? Lolote laweza kutokea Man U kubeba kwa hiyo list iliyobaki
Labda mbebe kombe la bilauri.Kombe hili tunabeba
Labda mbebe kombe la bilauri.
Holi kombe anabeba Villarreal
Tuanzebe ndani..
Pogba mechi hizi mbili zilizopita kacheza vizuri sana.Nimeona timu inacheza vizur sana kama sasa sosha kishapata muunganiko pogba kawa vizur sana kifupo naona muunganiko wa timu sasa
Nina imani next season timu yetu itafanya vizuri zaidi, kurejea kwa mashabik kutafanya OT kuwa uwanja mgumu kwa wageni, pia OGS akiongeza wachezaji kama 3 au 4 kutaongezea nguvu kikosiNimeona timu inacheza vizur sana kama sasa sosha kishapata muunganiko pogba kawa vizur sana kifupo naona muunganiko wa timu sasa
Angalia tunaenda kunyanyua UEFA ..wewe waza top four.Pigania top four ukifanya mchezo unakwenda na maji msimu huu.



Uwanja mgumu shamba la Bibi ..wachezaji ndo Tuanzebe na Erick BailyNina imani next season timu yetu itafanya vizuri zaidi, kurejea kwa mashabik kutafanya OT kuwa uwanja mgumu kwa wageni, pia OGS akiongeza wachezaji kama 3 au 4 kutaongezea nguvu kikosi





"We won the game, he [Mourinho] lost the game and he doesn't want to speak about the game, he wants to speak about the dad of someone, that's what he does. Everybody knows it, it's very Mourinho."

Nasubiria kuona Mourinho' atakavyolipuka.★"He (Ole) wouldn't go against the players, it is not like you put them on the side and they don't exist anymore."
Paul Pogba has given a scathing verdict on Jose Mourinho's man-management, saying the former Manchester United boss cast players out without explanation★
#GGMU
manutd |