radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Mourinho jana alisema kuwa timu yake haikupaswa kufungwa..sasa mtu unajiuliza ni kitu gani walifanya cha maana kwenye ile game?,unaona hamna chochote..huyu mtu amekuwa mbwa asiye na meno.
Hata mech ya kwanza wanatufunga 6 nilipost hapa mech ikirudiwa hawashindi spurs niliona kadi nyekundu ilivyowasaidia wakat bila kadi walibanwa sana mambo yaliharibika baada ya kadi tu



★
Eric Bailly is in Manchester now..★
★