Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Inogile
PSX_20210308_113324.jpg
 
Jamaa hawawezi kutuacha amini kwamba.
Shabiki gani unaanza kukata tamaa kabla game kwisha?
Tulianza kuishabikia Manchester united miaka ya 1998, sifa kubwa iliyo tuvutia ni kutokata tamaa kwa timu yetu, kwenye miaka hiyo hata ikiwa zimebaki dakika chache game kuisha tulikua tunauwezo wa kusawazisha na kuongeza la ushindi.

Kwahiyo huwa nashangaa kumuona shabiki wa Manchester united akikata tamaa mapema kabla ya dakika 90, huwa najiuliza kaanza kuishabikia Manchester mwaka gani? Sababu sizani kwa miaka ya hivi karibuni kama tumeongeza mashabiki wapya.

Nb. Kukata tamaa sio sifa ya mwanamme.
 
Nakuhakikishia Sorkskjaer hafukuzwi, miaka 100 mbele.
Ukitaka twende utaki tafuta timu ya kuishabikia.

Kuna mwenzako ameamua kumfuata Morinho alikoenda, cha ajabu na huko ni vichapo mpaka kichefu chefu.

 
Umeshinda ndio unakja jf kuvimba ,


Aisee ,muda wore umeshikilia pumbu huko machimboni ...
Tatizo kuna wajinga walipita na simu yangu week mbili nyuma.
Lakini namshukuru mungu nisha nunua nyingine, siunajua mimi si chimbi viazi bali nachimba dini la pili kwa thamani duniani, hivyo pesa hainipigi chenga.
 
Back
Top Bottom