The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Utd angefungwa "nzi" wengi wangejaa Sana hapa kuharisha!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nzi wengine siye siyo waharishaji!
Utd angefungwa "nzi" wengi wangejaa Sana hapa kuharisha!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nzi wengine siye siyo waharishaji!
[emoji1787][emoji1787] quote of the day,,,,Nzi wengine siye siyo waharishaji!
Vaa nguo ya liverpoolSasa kesho napita vipi hapa kitaa?
Usinisahau mkuu kwenye huo mgaoView attachment 1719682
Mlipokuwa mnasema tunaenda kupigwa 5 wenzenu tunawachora tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
2nd goal. ShawView attachment 1719633
Usinisahau mkuu kwenye huo mgao
★Harry Maguire’s game by numbers vs. Man City
100% aerial duels won
91% pass accuracy
9 clearances
4 ball recoveries
3 interceptions ★
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd | View attachment 1719817
Dah kwanzia leo nitawaita Man United maana mmenipatia pesa nzuri sana[emoji3][emoji3][emoji3]Kwa form walikua nayo MCI nadiriki kusema Mende Kaangusha Kabati.
Tushukuru kwa kukusetia mkeka wako
GGMU
Hahahahaha mapema sana mkuu ..Refa Anthony Taylor tena lazima uiue city [emoji3]hakuna namna
Ss rashford ametukosesha goli nyingi sn za hivyo, utakuta yeye amebanwa lkn nafasi ya kutoa pasi mwenzie afunge anayo ila hafanyi hivyo ndio maana huwa tunamsema sn.Combination ya rashford na shaw inaanza kukomaa niliona toka mech ya crystal palace japo tulitoka 0-0 nikagundua kitu
Ederson kashangaa tu mpira unaingia nyavuni
Ss rashford ametukosesha goli nyingi sn za hivyo, utakuta yeye amebanwa lkn nafasi ya kutoa pasi mwenzie afunge anayo ila hafanyi hivyo ndio maana huwa tunamsema sn.
Diogo dalotHata mm rashford huwa namsema sana kwenye kukosa goli za wazi ila ule upande wa kushoto wanaelewana vizur sana na shaw kitu ambacho huku kwa bissaka bado hajapata mtu wa kumsaidia
Uzuri tumekupasueni heshima ime rudi.Rudisha simu ulikoitoa najua huna smartphone ...
Unaingia jf kama mwizi kwa kuibiaibia...
Diogo dalot
Wew unagombania nafasi ya Pili ...Uzuri tumekupasueni heshima ime rudi.
Kwa sasa mwanamme anajulikana na mvulana anajulikana.